Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Back in training..!View attachment 2318276
Watapumzika tukichukua UCL
We man u?Nampenda Hallad ila siipendi Man city[emoji1787][emoji1787][emo
Bora hajaja Man u maana angepoteza muda tu....We man u?
Acha aendelee kukupa rahaBora hajaja Man u maana angepoteza muda tu....
Basi we mwanga mkuu so kwa chuki hizo, City team ya watu kipenzi cha watu unaikataa vipi.Nampenda Hallad ila siipendi Man city[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jipige kifuani sema kimoyomoyo Mimi ni shabiki la man city[emoji23][emoji23][emoji23]Nampenda Hallad ila siipendi Man city[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daah ningependa aje man u sema angepoteza muda tuu..Jipige kifuani sema kimoyomoyo Mimi ni shabiki la man city[emoji23][emoji23][emoji23]
sio kwamba naichukiaa... ila sio shabiki yakee na me naamini ukiona mtu anashabikia man city jua kaanza kushabikia mpira juzi kazi au alihama timuBasi we mwanga mkuu so kwa chuki hizo, City team ya watu kipenzi cha watu unaikataa vipi.
Kuna dhambi mtu akianza juzi au jana kushabikia mpira?sio kwamba naichukiaa... ila sio shabiki yakee na me naamini ukiona mtu anashabikia man city jua kaanza kushabikia mpira juzi kazi au alihama timu
😀 😀 😀 😀nisamehe mkuu... wew ni shabiki bora wa man city umeanza zamani sanaKuna dhambi mtu akianza juzi au jana kushabikia mpira?
Acheni maneno ya kijinga wewe ulieanza zamani umefaidika nini?
Hawa walianza zamani wapi ,mashabiki Kama wa Liverpool utakuta wanajitapa et Wana makombe ya epl 19 ,lakin wakati hayo makombe yanachukuliwa hakuna hata mmoja kwenye Uzi alikuwepo ....! Epl imeanza 1990 watu wa 1990-1996 Hawa hawezi kuwa mashabiki wa Liverpool,labda wawe wamefuata mkumbo ....!Kuna dhambi mtu akianza juzi au jana kushabikia mpira?
Acheni maneno ya kijinga wewe ulieanza zamani umefaidika nini?
Hakuna tuzo uwe wa zamani wasasa hakuna kipya😀 😀 😀 😀nisamehe mkuu... wew ni shabiki bora wa man city umeanza zamani sana