Ukiachana na Liverpool timu nyingine naiona tishio kuja pale juu ni Chelsea ....
Aisee Chelsea ni solid hatari ,wako fit ,wanasajili Kama utani utani hivi lakin watu wanaowasajili wanaperform vzuri , cucurella,koulibaly kafika anafit vzuri kwenye mfumo wa TT ....
Kama chelsea wasipopata majeruhi Hawa wanakimbiza mwizi kimya kimy ....
Kuhusu arsenal bado Nina wasiwasi ,siamini kabisa Kama wanakikosi Cha kuwa na consistency,key players wao Kama Jesus ,zincheko wapo on fire lakin sikumbuki ni Lin walishawahi kucheza game 20+ consecutively wakiwa kwenye form ile ile ....kinachonipa wasi wasi na arsenal nikiangalia bench sioni watu katili wengine Kama kina Jesus ,Saka ,martnel , ordegad....
Mwisho kabisa ,this is epl ndio kwanza GW2 ,na hii league huwa inamaajabu ,....tuendeleee kuangalia movie itaishavipi ....