The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Next ???
premierleague-20220815-0001.jpg
 
Inaonekana liva hata kwa man u atahangaika
Sasa hivi Liverpool kinachowatesa ni midfielders,kuna majeruhi kibao ....thiago ,keita ,OX ,hao wote wapo vitandani ....

Sasa wapo na milner ,hendo,Elliot ,na fabihno ....hizi midfielders sio nyumbulifu kabisa ...kumkosa Thiago ni pigo kwao ,japo sijawatoa kwenye ubingwa .... Liverpool wakiamua kuwasha huwa ni hatari ..,,,kiufupi legue bado sana wanaweza kufanya maajabu japo wanavosuasua ni advantage kwetu ....

Klopp ni bonge la kocha naamini anaenda kuandaaa mbinu nyingine Kali hawezi kugiveup ubingwa mapema hivi ...


Kuhusus man UTD kumfunga Liverpool Hilo Mimi nalikataa kabisa [emoji23] united ni timu mbovu kuliko timu yeyote epl ,kwanza hawana morali ,passion ,Wala sprit ya kuipigania timu yao ,tayari wameshagawanyika hawana muungano ,huko dressing room Ronaldo kashakuwa kirusi ,timu ya namna hii hata wakicheza na singida united usitegemee wanaweza kushinda .,..!
 
Ukiachana na Liverpool timu nyingine naiona tishio kuja pale juu ni Chelsea ....

Aisee Chelsea ni solid hatari ,wako fit ,wanasajili Kama utani utani hivi lakin watu wanaowasajili wanaperform vzuri , cucurella,koulibaly kafika anafit vzuri kwenye mfumo wa TT ....

Kama chelsea wasipopata majeruhi Hawa wanakimbiza mwizi kimya kimy ....

Kuhusu arsenal bado Nina wasiwasi ,siamini kabisa Kama wanakikosi Cha kuwa na consistency,key players wao Kama Jesus ,zincheko wapo on fire lakin sikumbuki ni Lin walishawahi kucheza game 20+ consecutively wakiwa kwenye form ile ile ....kinachonipa wasi wasi na arsenal nikiangalia bench sioni watu katili wengine Kama kina Jesus ,Saka ,martnel , ordegad....

Mwisho kabisa ,this is epl ndio kwanza GW2 ,na hii league huwa inamaajabu ,....tuendeleee kuangalia movie itaishavipi ....
 
Hizi mechi ndogondogo ni za kujibebea point kama kweli tuko serious na kombe na in fact tumeanza vizuri kinachohitajika ni consistency
 
Hizi mechi ndogondogo ni za kujibebea point kama kweli tuko serious na kombe na in fact tumeanza vizuri kinachohitajika ni consistency
Japo bado. Naona chemistry haipo kabisa kwenye timu yeTuu yuLe greaLish asugue2 bado haja deLiver tuLichokua tunakitegemea kwa naThaN AkE naoNa anakuWa soLid zaidii aongezee creativity asogee awe ma uwezo kukokotA mpiRaa kuhusu eneo La midfielder sina Wasiwasi naLoo japo natamani sana siku1 nimwone PhillipS na rodRii MatCh kama Bernardo haeLewekii wachukuEe verraTii mwambAa
 
Back
Top Bottom