Taratibu tuta gain momentum mkuu ukizingatia hatukua na maandalizi ya kutosha pre season tulicheza mechi mbili tuJapo bado. Naona chemistry haipo kabisa kwenye timu yeTuu yuLe greaLish asugue2 bado haja deLiver tuLichokua tunakitegemea kwa naThaN AkE naoNa anakuWa soLid zaidii aongezee creativity asogee awe ma uwezo kukokotA mpiRaa kuhusu eneo La midfielder sina Wasiwasi naLoo japo natamani sana siku1 nimwone PhillipS na rodRii MatCh kama Bernardo haeLewekii wachukuEe verraTii mwambAa
Daaah Philips sijui kwann pep hamuamin ,Kila siku anafanya mazoezi hata kuingia dakika za 70 Kama kina Alvarez haingii ,game Kama ya juzi na bounmounth tulikuwa na ushindi mapema ,kelvin Phillips alitakiwa kuingia pale kati ,Sasa yeye kakomaa na grealish ,....kiufupi grealish uwezo wake wa mwisho ndio ule ,yule alitakiwa kuwa msanii tu maana sura na matendo yake nibya kisanii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...!Japo bado. Naona chemistry haipo kabisa kwenye timu yeTuu yuLe greaLish asugue2 bado haja deLiver tuLichokua tunakitegemea kwa naThaN AkE naoNa anakuWa soLid zaidii aongezee creativity asogee awe ma uwezo kukokotA mpiRaa kuhusu eneo La midfielder sina Wasiwasi naLoo japo natamani sana siku1 nimwone PhillipS na rodRii MatCh kama Bernardo haeLewekii wachukuEe verraTii mwambAa
Sisi tunacheza football mzee ,makombe yanakuja yenyewe ,na ndio maana kwenye interview yake hakuna sehemu....! aliyosema amekuja kutupa UEFA [emoji23]Huyu gomez ndyo aje achukue uefa hii timu ina laana siyo bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muda utaongeaHuyu gomez ndyo aje achukue uefa hii timu ina laana siyo bure [emoji23][em
Philips nafasi yake anacheza na jini RodriDaaah Philips sijui kwann pep hamuamin ,Kila siku anafanya mazoezi hata kuingia dakika za 70 Kama kina Alvarez haingii ,game Kama ya juzi na bounmounth tulikuwa na ushindi mapema ,kelvin Phillips alitakiwa kuingia pale kati ,Sasa yeye kakomaa na grealish ,....kiufupi grealish uwezo wake wa mwisho ndio ule ,yule alitakiwa kuwa msanii tu maana sura na matendo yake nibya kisanii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...!
Saizi stone anasmtulia pembeni ake naona kashaaminiwa Sasa na Yuko vzuri kweli Yani ,namuona akipewa dakika nyingi hata Laporte akirudi ...
Kuhusu haaland mechi ya juzi walimkamia tu yeye ndio maana hakuonekana ....lakin kina kdb ,foden na gundo walitumia nafasi ya kukabwa na haaland kufunga ....
Saizi gundogun ndio captain ,hivyo basi tutegemeee kumuona akianza Kila game , midfielders zetu itakuwa rodri ,kdb benardo ,,hao ndio pep kawaamin hapa Phillips aombe tu mmoja aumie ndio atapata dakika nyingi ...vinginenvyo awe mvumilivu tu ....
Wewe ni team gani
Wewe timu gani usije ukawa man u unatupigia kelele tu humuHaaaland kagusa mpira mara 8 ndani ya dakika 74... hahahaa mara moja katika hizo ni pale alipoanzisha mpiraa
Vipi Nunez aliishia Kula umeme [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Haaaland kagusa mpira mara 8 ndani ya dakika 74... hahahaa mara moja katika hizo ni pale alipoanzisha mpiraa
Juzi pep alisema Philips ni injury ,na msimu huu anaweza kucheza game chache kuliko wengine ....!Philips nafasi yake anacheza na jini Rodri
Mimi huwa nasema haaland tumpe muda tu hizi pressure Zinamfanya ana lose confidenceVipi Nunez aliishia Kula umeme [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
ifike hatua vyombo vya habari viwaache Hawa haaland na Nunez kuwapa pressure ambazo hazipo ,.....
Umri wao unawaruhusu kufanya Mambo makubwa katika mpira ila media zinawapa pressure ....
Mkuu media z UK achana nazo kabisa ,ni full kumstress mchezaji ilimradi ayumbe tu ....Mimi huwa nasema haaland tumpe muda tu hizi pressure Zinamfanya ana lose confidence