Daaah Philips sijui kwann pep hamuamin ,Kila siku anafanya mazoezi hata kuingia dakika za 70 Kama kina Alvarez haingii ,game Kama ya juzi na bounmounth tulikuwa na ushindi mapema ,kelvin Phillips alitakiwa kuingia pale kati ,Sasa yeye kakomaa na grealish ,....kiufupi grealish uwezo wake wa mwisho ndio ule ,yule alitakiwa kuwa msanii tu maana sura na matendo yake nibya kisanii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...!
Saizi stone anasmtulia pembeni ake naona kashaaminiwa Sasa na Yuko vzuri kweli Yani ,namuona akipewa dakika nyingi hata Laporte akirudi ...
Kuhusu haaland mechi ya juzi walimkamia tu yeye ndio maana hakuonekana ....lakin kina kdb ,foden na gundo walitumia nafasi ya kukabwa na haaland kufunga ....
Saizi gundogun ndio captain ,hivyo basi tutegemeee kumuona akianza Kila game , midfielders zetu itakuwa rodri ,kdb benardo ,,hao ndio pep kawaamin hapa Phillips aombe tu mmoja aumie ndio atapata dakika nyingi ...vinginenvyo awe mvumilivu tu ....