Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ooh tuna Halaandπ€£π€£π€£π€£π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯Mkuu haaaland hajawahi kuonesha uvivu pale mbele ,foden ndio alikuwa anashindwa kuelewa kuwa pale kati ipo scoring machine sio sterling so ilitakuwa awe anapiga mipira .....!
Kwan sie tumefungwa?
Sasa City kweli ni ya kuanza kuhangaika na timu ndogo jamaniKwan sie tumefungwa?
achana na haaland kabisa Game 3 ,3 goal ,1 assist.......Ooh tuna Halaand[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Moto moto motooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Je liverpool ni ya kudroo anfield kweli?.....halafu Newcastle wamewekeza eti ...wako vizuriSasa City kweli ni ya kuanza kuhangaika na timu ndogo jamani
Tuko Vizuri...Je liverpool ni ya kudroo anfield kweli?.....halafu Newcastle wamewekeza eti ...wako vizuri
Hapo ndugu zangu Mmepigwa.achana na haaland kabisa Game 3 ,3 goal ,1 assist.......
Vip Nunez huko ,kapigwa umeme kakaaa pembeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo jota anashinda hodin tu ,watu pekee waliobaki Liverpool ni Diaz na salah [emoji23]Hawa wengine ni magarasha tu ...Hapo ndugu zangu Mmepigwa.
Sisi hatumtegemei yule jamaa wa magazeti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuna Diaz,Salah na Jota.
Msimu ulopita na ulopita hamkuanza hivi....na ngoja Leo nyumbu wafufukie kwenuTuko Vizuri...
Ndio tunaanzaga hivihivi mdogo mdogo
Au sioTafuta timu nyingine ya kutusumbua ila Hawa nyukesito tunaenda kuwapiga goli 5 ....na clean sheet juuu
Hivi kabisa unakaa kusubiri akina Magwaya wafufuke?Msimu ulopita na ulopita hamkuanza hivi....na ngoja Leo nyumbu wafufukie kwenu
Magwaya atafanya maajabu mpaka utashangaa pengine tatafufukia kwenu.Hivi kabisa unakaa kusubiri akina Magwaya wafufuke?
Haya wamefufuka!Hivi kabisa unakaa kusubiri akina Magwaya wafufuke?
Hata hatujazika bado tambo zimeshaanza?Wajomba poleni sana
Newcastle sio watu wazuri wale
Sisi Liverpool anaye kuja mbele yetu sasa yyt ni halali kwetu
Mechi ijayo wapigwe waanze kutukana hahahaaahHawa united walishaanza ujinga et wanataka wapewe kombe lao [emoji23][emoji23][emoji23]
Usajiri upi mkubwa alioufanya Newcastle?Kitu ambacho hamjua Newcastle kashanunuliwa na waarabu ,kashafanya usajili mkubwa na soon anakuja kuchallange top four ,kuanzia mwaka jana Mimi nilikuwa namuona hatari ...