The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.game ya Leo Haina haha ya kukamia na kuumuza wachezaji wetu ,Kama inawezekana wacheze kina Palmer,Phillips ,Alvarez ......ili jumamosi tukabiliane na crystal palace vzuri ...

Cha mhimu ni kugenerate hio funds ,wawape wahitaji tuendeleee na epl mapema ...
mancity_mcfc-20220824-0001.jpg
 
Heeee hiki kikosi ndio kinacheza na Barcelona [emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
mancity-20220824-0001.jpg
 
Any way wacha niaangalia hii man city b Vs Barcelona...si charity game hata tukifungwa Haina shida [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmmh siku hizi walker sio mzur kabisa kwenye kudefence ...

Palmer bado sana ...

Pale kati pamepwaya sana ...

Lewis huyo dogo anajituma anapambana kiufupi ...

Alvarez apewe muda yupo sharp ..

Gomez aisee hajatulua kabisa ,Sasa upande wake analazimisha kupiga pass Hadi sehemu yenye ukuta [emoji23]

HT 1-1
mancity-20220824-0003.jpg
 
Ngoja tuone second half mabadiliko yataleta mwonekano upi kwa team nzima kwa ujumla.
 
Mmmh siku hizi walker sio mzur kabisa kwenye kudefence ...

Palmer bado sana ...

Pale kati pamepwaya sana ...

Lewis huyo dogo anajituma anapambana kiufupi ...

Alvarez apewe muda yupo sharp ..

Gomez aisee hajatulua kabisa ,Sasa upande wake analazimisha kupiga pass Hadi sehemu yenye ukuta [emoji23]

HT 1-1 View attachment 2333909
Pia namuona S.Ortega akiwa vizuri tu.
 
Dakika za mwisho baada ya Kila kocha kuweka vyuma ndio mpira ulikuwa wa moto ...
 
Carabao draw...

Man city Vs Chelsea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii draw ya carabao ni ujinga kabisa ,inakuaje tunakutana mapema hivi [emoji23][emoji23][emoji23]...

Tunakutana na sterling Sasa ........
 
Makundi ya uefa yametoka ila Nottingham forest ana uefa 2 hii laana fc inaruka ruka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kichwa kikubwa Ila akili kisoda
 
Makundi ya uefa yametoka ila Nottingham forest ana uefa 2 hii laana fc inaruka ruka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kichwa kikubwa Ila akili kisoda
Nyie arsenal mlibeba uefa lini kweli? Ebu nikumbushe
 
Back
Top Bottom