FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Wewe ni team gani?Sasa City kweli ni ya kuanza kuhangaika na timu ndogo jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni team gani?Sasa City kweli ni ya kuanza kuhangaika na timu ndogo jamani
Jana mmeliwa jicho na man unitedTuko Vizuri...
Ndio tunaanzaga hivihivi mdogo mdogo
Unalijua li man u bro?Wajomba poleni sana
Newcastle sio watu wazuri wale
Sisi Liverpool anaye kuja mbele yetu sasa yyt ni halali kwetu
Jana hanisi kadindishia mashine kwake aibu iliyojeKainamishwa na man u
Utatupa updates mkuuAny way wacha niaangalia hii man city b Vs Barcelona...si charity game hata tukifungwa Haina shida [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu pakua app ya man city game wanarusha live kabisa .....any way update nitakuwa natoa .....!!!Utatupa updates mkuu
Pia namuona S.Ortega akiwa vizuri tu.Mmmh siku hizi walker sio mzur kabisa kwenye kudefence ...
Palmer bado sana ...
Pale kati pamepwaya sana ...
Lewis huyo dogo anajituma anapambana kiufupi ...
Alvarez apewe muda yupo sharp ..
Gomez aisee hajatulua kabisa ,Sasa upande wake analazimisha kupiga pass Hadi sehemu yenye ukuta [emoji23]
HT 1-1 View attachment 2333909
Nyie arsenal mlibeba uefa lini kweli? Ebu nikumbusheMakundi ya uefa yametoka ila Nottingham forest ana uefa 2 hii laana fc inaruka ruka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kichwa kikubwa Ila akili kisoda