Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Hao palace watajuta kuingia uwanjani kesho ,huyo zaha kesho atapoteana ....Nadhan mnawajua crystal Palace kesho mtapelekewa moto mpka muisuse ligi laana fc balazuri nyie [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mshono upi? Leo kanakufa kajituuCrystal Palace tunapiga pale pale kwenye mshono viva crystal Palace [emoji91][emoji91][emoji91][emoji9
Draw LeoMshono upi? Leo kanakufa kajituu
it is not as easy as you say.Mshono upi? Leo kanakufa kajituu
Ndio sio kazi rahisi mkuu lakini nakuhakikishia man city Leo tuna point 3 kibindoni kutoka kwa vierait is not as easy as you say.
Utaniita mbwa nimekaa paleeeeeDraw Leo
Ana zake 2 leo
Wewe kocho..soma huko