Yeah ma menThis is Manchester city ....!!!
Hatuna solid defence aisee ,Leo pale kati viungo walishindwa kuwasaidia kina Stone na dias ,ndio maana ulikuwa unaona ukuta unavuja ....Ila city tunatoboka sana yan mechi 2 tumepigwa goli 5 hii so ishara nzuri....all in all pointi 3 kibindoni,,goli 3 kibindoni mwa haaland
The man himself
Kwahiyo halaand alitakiwa atolewe? Kwenye mfumo wako hafai..ππTulia wewe arsenal Leo mtajua hamjui .....!![emoji23][emoji23][emoji23]
Binafsi nitawashangaa sana wakimruhusu mwamba akaenda barcaHatuna solid defence aisee ,Leo pale kati viungo walishindwa kuwasaidia kina Stone na dias ,ndio maana ulikuwa unaona ukuta unavuja ....
Bernado Silva huyu mtu apewe mkataba wa kidumu kabisa ,maana sio kwa movement zile .....
Haaland ile ni goal machine wewe ,first play to score hat trick ni premier league this season [emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo halaand alitakiwa atolewe? Kwenye mfumo wako hafai..[emoji23][emoji23]
Daaa sijui pep kawaza Nini kamtoa Mahrez kamuweka Alvarez halafu Bernado akapanda kule juu so Alvarez anaweza kuanza kuwa anatokea pembeni ....maana pale kati kati sion Kama anaweza kumtoa haaland ...!Gundogan ndo mchezaji ambaye anaweza kumchezesha haaland kwa sasa pale city..pia Julian Alvarez yupo vizuri alivyoingia amesaidia kuivuruga safu ya ulinzi ya palace
Umeanza kuwa shabiki maandazi asiyekuwa na uvumilivu.π Ulisema atolewe.Haaland ile ni goal machine wewe ,first play to score hat trick ni premier league this season [emoji23][emoji23][emoji23]
Kipindi Cha kwanza kacheza vibaya but Alvarez ndio kaingia kuleta chemistry nzuri ,...Umeanza kuwa shabiki maandazi asiyekuwa na uvumilivu.[emoji23] Ulisema atolewe.