Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Kaangalie arsenal yako huko ,Mambo sio Mambo[emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza kuwa shabiki maandazi asiyekuwa na uvumilivu.[emoji23] Ulisema atolewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaangalie arsenal yako huko ,Mambo sio Mambo[emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza kuwa shabiki maandazi asiyekuwa na uvumilivu.[emoji23] Ulisema atolewe.
Arsenal ni timu kubwa sana usisahau hilo. Msimu huu inatakiwa tukabidhiwe kombe kabisa.Kaangalie arsenal yako huko ,Mambo sio Mambo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo timu kubwa zote zimeshinda hakuna kubwa jinga la kuvamia uziiiArsenal ni timu kubwa sana usisahau hilo. Msimu huu inatakiwa tukabidhiwe kombe kabisa.
Tunaenda kushinda game 17 na sare mbili raundi ya kwanza.
Mwenye laaana wewwe na. Babaa zako mshamba wewe ushabikii maandazii tukuiteee mbwa xdHii timu ina laana kuanzia wachezaji mpka mashabiki wote akili hawana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
K****a sana wewee ushabiki wa kingeseeDah ngoja nifute komenti yangu tu[emoji124][emoji124][emoji124]
DaH umeona tatizo city beki zetu mbechembeche sana ndugu hakunaga bek kaz kaz me so mshabiki wa Nathan ake but tuna mmis sana japo hajui kukokot mpira kwenda mbeLe kama CB wengne ni mzuri ku defense aki improve kusogea MBELe itapendezaIla city tunatoboka sana yan mechi 2 tumepigwa goli 5 hii so ishara nzuri....all in all pointi 3 kibindoni,,goli 3 kibindoni mwa haaland
Pep master mind ACHana. Nae kabisaDaaa sijui pep kawaza Nini kamtoa Mahrez kamuweka Alvarez halafu Bernado akapanda kule juu so Alvarez anaweza kuanza kuwa anatokea pembeni ....maana pale kati kati sion Kama anaweza kumtoa haaland ...!
Soon tutaanza kuona combination ya haaaland na Alvarez [emoji23]
Hivi ake atakua nje kwa muda ganiDaH umeona tatizo city beki zetu mbechembeche sana ndugu hakunaga bek kaz kaz me so mshabiki wa Nathan ake but tuna mmis sana japo hajui kukokot mpira kwenda mbeLe kama CB wengne ni mzuri ku defense aki improve kusogea MBELe itapendeza
Aliumia game ya Newcastle jana pep kasema soona atarudi ...Hivi ake atakua nje kwa muda gani
Yap dogo inatakiwa atambue kuwa tuna jini La magoli pale katiBaada ya game ya Newcastle walivamia kwenye page ya foden kumchana ,hatimaye jana foden akatoa pass kwa haaland [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2337009