The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Yote kwa yote niseme acha tupambane vita bado ni kubwa mbele yetu naona timu nyingi zinatukamia ile mbaya, jana niliugua ghafla aisee na kufunga simu kabisa nimekuja kucheki kumbe kibao kiliwageukia na aibu kuwarudia.
 
Manchester city is blue [emoji838][emoji838][emoji838] timu iliyoleta mapinduzi England tunatetea ubingwa wetu tena [emoji838][emoji838][emoji838]
 
Manchester city is blue [emoji838][emoji838][emoji838] timu iliyoleta mapinduzi England tunatetea ubingwa wetu tena [emoji838][emoji838][emoji838]
Hahaaaaaaa arsenal tunalala nao mbele kwa mbele mpaka kieleweke ...japo mimi kichwani nawawaza Liverpool....
 
Magoli ya Haland papatupapatu kama Lukaku tu.
Kwa muda mrefu sana tumekosa mchezaji wa kuweza kutupa magoli ya hivo ,kina sterling walikuwa wanatuudhi sana kwa kukosa nafasi za vile wakati timu ipo nyuma na tunahitaji ushindi ....

Kwa viungo wetu mkuu lazima mtu Kama haaland ambae ni tap-in scoring goal ahitajike ,cheki movement za kina Silva ,foden ,gundo ,kbd ,harafu mbele awepo mkosa kosa nafasi unategemea Nini ....

Kwa taarifa yako ,tumekuwa tunakosa finisher mzuri kwa miaka mingi baada ya aguero kutoka lakin clear chance zimekuwa zikipotea ...!!

Sawa halaand ni tap -in goal ,na system yetu ya mpira inataka mtu wa hivo ,kwan kuna viungo wa kuvunja vunja defence Line na kuchezea kwenye box la mpinzani bila kuchoka ...

Kwa nafasi tunazotengeneza tegemea kuona magoli mengi ya haaland ya namna hio ...

Haaland akikutana na timu inayofunguka kucheza atafunga magoli kama goli la nne lile ,ila akikutana na timu wanayobaki nyuma lazima afunge tap-in goal ...Kama uliona jana baada ya 3-2 crystal palace walifunguka kwa namna flani Kama wanataka kurudisha ndio maana ukaona lile goli la nne ambalo wengi wanaona Kama ndilo haaland alirun vzuri ,....
 
Ushabiki ni shida unaweza kuugua kisukari ghafla walai.
Kusema kweli swala la kufungwa kwanza ndio tunafanya come back litakuja kutua [emoji23][emoji23][emoji23]...

Defence Line yetu waache ujinga kabisa ,kuna game wakishatufunga goli 2 hatutaweza Tena kufanya lolote ,man beki zao ni ngumu ,timu Kama Chelsea , Liverpool Hawa jamaa haitakiwi kufanya ujinga kabisa sijui kuruhusu goli 2 ....
 
Yote kwa yote niseme acha tupambane vita bado ni kubwa mbele yetu naona timu nyingi zinatukamia ile mbaya, jana niliugua ghafla aisee na kufunga simu kabisa nimekuja kucheki kumbe kibao kiliwageukia na aibu kuwarudia.
Mkuu epl sio mchezo ,hao palace walimfanya kitu mbaya Liverpool pale anfield ,so siku hizi hakuna timu ndogo Wala kubwa ,cheki jana fulham walivompa changamoto arsenal ....

Cha mhimu ni consistency...

Na pep navomjua hanaga plan b ,sijui kubadilisha mbinu na alishawahi kusema hakuna kubadilisha plan kwenye football Bali ni kukomaa na plan hio hio zaidi ni kuiboresha,sio muumini kabisa ya plan b toka Yuko Barcelona ni Kama Marcelo biensa Bora timu ishuke daraja ila sio kubadilisha mbinu ,ndio maana alitaka kuishusha daraja Leeds united ,kwa kocha mwingine baada ya zile goli mbili angebadilsha mbinu na kufanya counter attack lakin pep aliwatuliza na kuendelea kucheza mpira ule ule bila kujali [emoji23]aisee hii kitu sio poa kabisa.....
 
Kweli jamaa atafunga sana kwa mpira wa city na nafasi jinsi zinavyotengenezwa ,ila jamaa ninachomkubali halisi magoli hovyo na anajua kujiposition.
 
Mimi siyo man City ila kwa ninavyoona huyu Haaland atafunga sana, hata huyu Alvarez naona miguuni kwake magoli tupu.
 
Ila kudadeeki tungempata cucurella asee Kule kushoto kungekua hapashikiki cancelo/cucu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…