The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

aiseee huyu mwamba haaalandi ni balaa nafasi zote alizokuwa anakosa raheem kufunga anazifunga huyu mwamba
 
Pep guardiola about Bernardo Silva

"What amazes me about Bernardo Silva is when the game is going wrong, he makes a step forward, he loves to play in that situation, he is comfortable with it. That's why he is irreplaceable in many ways for us, I want him here so much"
 
Ila Bernardo Silva fundi ..yani hakuna haja kabisa ya kumuuza
Benardo Silva yule ni talented ni Kama kina mess ,unaambiwa katika watu wavivu kufanya mazoezi gym ni benardo,ndio maana Hana mwili wa misuli iliyotuna lakini mpe mpira uone mziki wake ,anapumzi hatariii,grealish ndio ana rate kubwa ya kushinda gym sana [emoji23]...

Benardo Silva ...
Mahrez ..
Zincheko..

Hawa vipaji ndio vinaongea hasa kwa upande wa control za mpira ...

Bernado anamapafu ya mbwa yule ,ule mguu wa kushoto ni Kama una gundi Yani mpira ukiwa pale unanata kabisa yeye kazi yake ni kukatiza tu katikati ya defender mpira uko mguuni ,ukienda vibaya defender basi unasababisha penalty..

Unaweza fikikia hana nguvu ila sogea uone ...
 
Huyu jamaa hatakiwi. Kuondoka kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba Benardo anagundi mguuni? Dah! Mashabiki wa city bhana.
 
Siku Kama ya Leo magazeti ya UK yote yaliandika "club ya Manchester city imemusajili kiungo wa kati aliyefeli Chelsea Kevin de bruyne kwa paundi million 75 kutoka wolfburg"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
.kdb Sasa katimiza miaka Saba toka kusajiliwa kutoka wolfburg ....Manuel Pellegrin aliona mbali sana ....
 
Manuel Pellegrin on Kevin 2015

"We are very happy to have added Kevin to our team and I have no doubt that he will be a big success on his return to the Premier League.

It takes a special footballer to improve our squad and I have no doubt that Kevin is certainly one of those—he has all of the mental, physical, tactical and technical attributes required to fit straight in.

We like to play attractive, attacking football and bringing in a player like De Bruyne will only aid us as we fight on four fronts."
 
Nottingham forest wanakula karanga mbichi
NB:NOTTINGHAM FOREST TUNA UEFA 2 [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]nyie laana fc mna kopo za nyumbu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nottingham forest wanakula karanga mbichi
NB:NOTTINGHAM FOREST TUNA UEFA 2 [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]nyie laana fc mna kopo za nyumbu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutazion hizo uefa 2 Kama zitawasaidia kufunga magoli [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…