Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Arsenyeto na nyie laana fc manshit hamna tofauti ni pipa na mfuniko ππArsenal mnazo ngapi
Ahaa hivi we kweli ndio yule shabiki hewa.....sasa ukae ukijua Uefa msimu inadondoka pale etihadArsenyeto na nyie laana fc manshit hamna tofauti ni pipa na mfuniko ππ
Kashachukua tu HT[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaaaaaaa , Haaland hurumia hawa watu na leo uondoke na mpira tena unatisha sana.