The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hata city ashinde goli 100 bado arsenal ndio on top..[emoji91][emoji91]
Sisi hatunaga papapala maana siku ya kukaa juu gari linakuja kusimama may 2023 tumeshanyanyua epl ,saizi ni muda wa Kila mtu kukaaa juu pale ...
 
.
mancity_mcfc-20220901-0001.jpg
 
Game ya jana bila hata kdb pale katikati tunatawala tu ...

Bernado Silva uchezaji wake wa kukaa na mpira &kudribble unasaidia ...

Cancelo bonge la LB ....

Alvarez anafunga magoli makali ,angle ngumu sana [emoji23] apewe muda aisee ,anapambana Kama Jesus uwanjan ,anapress Hadi kivuli ..

Haaland ataendelea kufunga sana ,maana kwa mipira wanayompigia kina foden,gundo ,benardo Silva lazima tu aweke magoli ...

Ujio wa mabeki Kama akanji , Gomez,sitegemei kuona nyuma kunapwaya kabisa , Laporte soon anarudi ......

Kwa form hii sijui grealish akirudi ataanzia wapi ,labda aombe majeruhi yawakute kina Mahrez ,foden ....

Saizi Kila mchezaji anakiwasha ,anajua kabisa asipokiwasha saizi kombe la Dunia hawezi kuitwa na timu ya taifa ...

Alvarez ni mchejazi moja wapo anategemewa na timu ya taifa ya Argentina kwenye kombe la Dunia ,yaani kashazoea kukiwasha na kina mess,Sasa sijui kwann tunamchukulia poa ....
 
Sio kumchukulia poa ni vile tu ni mgeni kwenye ligi so ni lazima tungeanza nae taratibu ila kwa moto huuuu!!.. Naamini atakua anaanza na kwa sasa kikosi chetu kina depth kubwa hata kombe LA dunia halitokua na effect sana kwetu
 
Hahaaaaaaa arsenal tunalala nao mbele kwa mbele mpaka kieleweke ...japo mimi kichwani nawawaza Liverpool....
Liverkuku siyo timu ya kuwaza Tena mkuu ..Pep ataendelea kuitesa EPL kwa misimu mingine kadhaa ..kwa Sasa sioni timu ya kuwazuia kutetea taji la ligi..
 
Asante kwa kukiri....kuna vi jamaa vya arsenyeto vinakaza fuvu ngoja ligi izidi kwenda
 
Mpaka Sasa tuna CB 5

Nathan ake
Ruben dias
Laporte
Stone
Manuel akanji...

Kutoka academy mbete ...

Hawa tutahakikisha tunawafanyia rotation mpaka kieleweke...
 
Back
Top Bottom