Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado ana chance ya kushinda.Huyu mjamaaa ataishiaga tu kusumbua EPL ..UEFA Hana chake Zama zake zimeshapita.
Nakualika uangalie mpira was kibingwa Leo.....sio ule wenu wa kiwowowoWale Aston Villa tujuane mapema. Tuna Jambo Letu leo..
Hio aibu haiepukikiAston Villa tuna jambo letu leo tunakula karanga mbichi sshv
NB:kufungwa na timu halina uefa ni aibu kubwa
Wewe unaeza mpiga westham wewe?Nakualika uangalie mpira was kibingwa Leo.....sio ule wenu wa kiwowowo
Alikula 2:0 kwaiyo ukae kwa kutuliaWewe unaeza mpiga westham wewe?
Hawa villa wamefunguka aisee ,wameua kucheza mpira liwalo na Liwe yaani hakuna sijui kuvizia counter attack Wala nini ...Sasa hapa akili inahitajika kumaliza hii game ,wachezaji waamke waje na energy kipind Cha pili ...!!!milango ni migumu