The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Beki zetu zinazingua ,kukabia macho kwa kina Stone Leo kumetughalimu ,ile V pass haikutakiwa kupigwa ...

Any way next game uefa ....
 
Liver tuna gundu yaani cty akiwa hovyo sisi ndio hovyo kabisa, tukiwa on fire basi ujue cty ni SGR
Kesho tutaangalia game ya arsenal ,ila arsenal anaonekana hastruggle kupata matokeo Kama timu nyingine ....
 
.
mancity-20220903-0010.jpg
 
Back
Top Bottom