bright pledge 255
Senior Member
- Aug 15, 2022
- 140
- 172
uyu alvarez huyu ni moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi hatunaga papapala maana siku ya kukaa juu gari linakuja kusimama may 2023 tumeshanyanyua epl ,saizi ni muda wa Kila mtu kukaaa juu pale ...Hata city ashinde goli 100 bado arsenal ndio on top..[emoji91][emoji91]
Sio kumchukulia poa ni vile tu ni mgeni kwenye ligi so ni lazima tungeanza nae taratibu ila kwa moto huuuu!!.. Naamini atakua anaanza na kwa sasa kikosi chetu kina depth kubwa hata kombe LA dunia halitokua na effect sana kwetuGame ya jana bila hata kdb pale katikati tunatawala tu ...
Bernado Silva uchezaji wake wa kukaa na mpira &kudribble unasaidia ...
Cancelo bonge la LB ....
Alvarez anafunga magoli makali ,angle ngumu sana [emoji23] apewe muda aisee ,anapambana Kama Jesus uwanjan ,anapress Hadi kivuli ..
Haaland ataendelea kufunga sana ,maana kwa mipira wanayompigia kina foden,gundo ,benardo Silva lazima tu aweke magoli ...
Ujio wa mabeki Kama akanji , Gomez,sitegemei kuona nyuma kunapwaya kabisa , Laporte soon anarudi ......
Kwa form hii sijui grealish akirudi ataanzia wapi ,labda aombe majeruhi yawakute kina Mahrez ,foden ....
Saizi Kila mchezaji anakiwasha ,anajua kabisa asipokiwasha saizi kombe la Dunia hawezi kuitwa na timu ya taifa ...
Alvarez ni mchejazi moja wapo anategemewa na timu ya taifa ya Argentina kwenye kombe la Dunia ,yaani kashazoea kukiwasha na kina mess,Sasa sijui kwann tunamchukulia poa ....
Huoni hata aibu hiki ulichoandika?!!....na hicho kikosi chenu cha makaratasii...sisi wala hatuwazi kila MTU ashinde mechi ZakeHata city ashinde goli 100 bado arsenal ndio on top..🔥🔥
Noma sana uyu dogo
Liverkuku siyo timu ya kuwaza Tena mkuu ..Pep ataendelea kuitesa EPL kwa misimu mingine kadhaa ..kwa Sasa sioni timu ya kuwazuia kutetea taji la ligi..Hahaaaaaaa arsenal tunalala nao mbele kwa mbele mpaka kieleweke ...japo mimi kichwani nawawaza Liverpool....
Asante kwa kukiri....kuna vi jamaa vya arsenyeto vinakaza fuvu ngoja ligi izidi kwendaLiverkuku siyo timu ya kuwaza Tena mkuu ..Pep ataendelea kuitesa EPL kwa misimu mingine kadhaa ..kwa Sasa sioni timu ya kuwazuia kutetea taji la ligi..
Nyie matakataka saivi hamuyiogopi Chelsea??
Tuogope team inayoenda kujifia yenyewe?[emoji23][emoji23][emoji23]Nyie matakataka saivi hamuyiogopi Chelsea??
Uoni usajili tulofanya? Mtu kaa halaand anaweza kupita kwenye ukuta wa Chelsea,? Labda atingishe wowowo akina Fofana na Silva wamsaau..😂😂😂Tuiogope. Chelttako?!!!...em kuwa na adabu