[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ndo anasema bado ana kiu na makombe sasa yaani ndio kumekucha kwake.Ah! Pep aondoke hii ligi na sisi wengine tufurahie uwepo wa timu zetu.
[emoji23][emoji1787]Ah! Pep aondoke hii ligi na sisi wengine tufurahie uwepo wa timu zetu.
We kirusi tupisheeHalaand hat trick hakuna wa kutuzuia mpka ubingwa the blues [emoji838][emoji838][emoji838][emoji838]
Mpka waseme Ferguson alikuwa ananunua marefa epl viva man city
Na wana UEFAAisee tunacheza bonge la mpira sion hao Nottingham forest wanatokea wapi kupata hata goli moja [emoji23][emoji23][emoji23]