Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kiufupi pep kaamua kuwaonea huruma unamtoaje kdb ,gundo ,foden ,ake at once wakati walikuwa solid kabisa ...Hawa nyumbu ilitakuwa wafe kifo Cha mbwa mwizi ....Hii tabia ya kuruhusuruhusu magoli inanikera sana....ilitakiwa wakijitahidi wapate kamoja aaaah... Tungewaweka hata 9 mbwa hao daadeki zao