The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Screenshot_20221002-165804.png
 
Kwa mara ya kwanza kuna exit ya funs before Half time... Very disaster
 
Pep sijui anafanya sub za Nini Hawa nyumbu ilitakuwa wapigwe kipigo chwa mbwaaa Koko mpaka siku wakisikia wanataka kuja Tena etihadi wanatetemeka na kuharisha ...Sasa anatoa kina foden ,kdb ,gundo [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Hawa ilitakuwa historian ijiandike mpaka kwenye vitabu vya mababu kudadekiii nimekasirika sanaaa ......!!
 
Hwa nyumbu ilitakuwa wapigwe mpaka wachakae ,hata wakiona jina Manchester city wanajinyie hapo hapo [emoji25][emoji25][emoji25]pumbavu sanaaa
 
Hii tabia ya kuruhusuruhusu magoli inanikera sana....ilitakiwa wakijitahidi wapate kamoja aaaah... Tungewaweka hata 9 mbwa hao daadeki zao
 
Hii tabia ya kuruhusuruhusu magoli inanikera sana....ilitakiwa wakijitahidi wapate kamoja aaaah... Tungewaweka hata 9 mbwa hao daadeki zao
Kiufupi pep kaamua kuwaonea huruma unamtoaje kdb ,gundo ,foden ,ake at once wakati walikuwa solid kabisa ...Hawa nyumbu ilitakuwa wafe kifo Cha mbwa mwizi ....
 
We are the citizen... Ngoja tuendelee kumpumulia asenyani
 
Back
Top Bottom