The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Game 8 Goals 14 kwa Halaand Mhhhhhhhh wakati Goal Score season nzima unakuta may be ana 28 goals in 38 Matches

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Haaland asipopata majeruhi basi atafunga sana magoli ....

Leo nilikuwa nashangaa hivi Hawa united wamefanya training kabisa kucheza derby [emoji23][emoji23][emoji23]maana kipindi Cha kwanza limepigwa ball mpaka nikawa nahisi Hawa jamaa wanamgomo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kituo kinachofata ni copenhagen fc...marehemu ajaye
 
Salamu zifike kwa Arteta.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Hhh!...mkuu arsenal salamu zetu wanazo tayari. ila mchezo wetu na wao hautakuwa mwepesi maana sahivi wana timu na wanacheza mpira nimeangalia game zao na ata hii ya mwisho dhidi ya Spurs...
Lakini naimani lazim tuwakalishe maana #TUNAPATAKA PALE JUU, Kikubwa tuombe Rodri awe amerudi pia.
 
Leo haaland akifunga atakuwa mwanaume maana Yale maneno yake ,timu nzima Leo inaenda kumkamia mpaka kucha [emoji23] hii ni nafasi Bernado ,kdb kuwafunga united ....
Mwisho wa siku kawaweka Chuma.3 safi na Assist.2 konki.
 
Na haaland ameweka rekodi kuu mbili...
1.Kuwa Mchezaji wa kwanza kufunga hat-trick kwenye michezo mitatu mfulilizo ya nyumbani katika EPL.
2.kufunga hat-trick zake katika michezo michache zaid kuliko waliomtangulia kufunga hat-trick 3 za kwanza katika EPL , maan imemchukua michezo.8 tu kupata hat-trick.3.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…