The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hawa madogo hawa...
Na hapo mkuu kumbuka wote ni just.22 yrs old tu + alvarez nae ni 22 yrs...hii ni hazina kubwa kwa City mkuu.

Ila naona kila dalili ya huyu mtoto kutimkia RealMadrid apo baadae kwa kuhitaji zaidi UEFA NA BALLON D'OR...Hivyo ni lazim tuchukue UEFA Ndani ya hii miaka miwili ili asije kufikiria kuondoka uko mbeleni.
 
Haaland akijaa bichwa kama mbape itakua tatizo a see

Kuhusu uefa hapo inatakiwa tukomae ...tena haswaa

Our playing style huwa haitupi favour kwenye uefa...tuna concede sanaa
 
Haaland akijaa bichwa kama mbape itakua tatizo a see

Kuhusu uefa hapo inatakiwa tukomae ...tena haswaa

Our playing style huwa haitupi favour kwenye uefa...tuna concede sanaa
Katika hatua ya makundi sina shaka kuvuka lazima ila katika hatua ya ROBO NA NUSU FAINALI...ndo tatizo sasa, pep itabidi ahakikishe wachezaji karibia wote wanarudisha Form zao haraka sana kabla mambo hayajawa magumu.
 
Benzema asema kijana ni #Fire kwenye Comment Insta.

20221003_132312.jpg
 
Hii

Nzuri sana kuwapumzish vijana maana game za EPL ni ngumu...ukizingatia tuna game na Liver na Asenal kabla ya likizo ya WorldCup!!!
Game ya arsenal imeahirishwa mkuu,arsenal atakuwa anacheza kiporo chake na psv Europa walicho acha wakati wa msiba wa malikia ....
 
Na Wakategemea Zao letu wenyewe Sancho atuadhibu kwelii?....😂😂😂😂😂

20221003_145521.jpg
 
Game ya arsenal imeahirishwa mkuu,arsenal atakuwa anacheza kiporo chake na psv Europa walicho acha wakati wa msiba wa malikia ....
Anhaa!...sawa ila aelewe kabisa kuwa #ata ikichezwa Jan. bado KIPIGO KIPO PALE PALE.
 
Haaland akijaa bichwa kama mbape itakua tatizo a see

Kuhusu uefa hapo inatakiwa tukomae ...tena haswaa

Our playing style huwa haitupi favour kwenye uefa...tuna concede sanaa
Uefa ni swala la muda tu ...

Pep hatatoka city mpaka achukue uefa ,tunavozid kuchelewa kuchukua uefa ndio pep anazidi kushona kikosi hatari na kinachoweza kuwa na uhakika wa kuchukua epl ....!

Pep akichukua eufa tayari asilimia za yey kuondoka zitakuwa kubwa mno maana atakuwa hadaiwi chochote ,hata dressing room atakuwa Hana Cha ziada Cha kuwashawishi wachezaji ...vinginevyo pep yupo Sanaa ....

Mkataba wake unaisha 2024 ,je unaweza kumfukuza kocha mwenye uhakika wa kukupa epl et kisa hajaleta uefa ? ,Kuna kocha mwenye uwezo huo ? Vinginevyo tutakuwa tunabet ...hata mkataba ukiisha naona akipewa mwingine tu [emoji23] mpaka kieleweke ....
 
Timu 10 zenye thamani kubwa barani ulaya...City is leading the Group with most Valuable Squad in the World.

20221003_001220.jpg

20221003_121831.jpg
 
They say #Ericksen is THE BEST IN UNITED SQUAD But unfortunate not in the League, One and the Only Kevin is still there.

20221003_001245.jpg
 
Now in ManChester...they call him #HAALANDINHO #AlwayzNextLevel.

20221003_121538.jpg
 
Msimu uliopita salah na Son Ndo walikuwa wafungaji bora EPL Kwa kupata jumla ya mogoli.23, Sasa kijana wetu Haaland tayari keshafunga goli.14 kwenye mechi.8 tu...hii inamaana amebakisha goli.9 kufikia record iyo na akiwa na michezo 30 imebakia.

#ThisIsRidiculous & #40+GoalsIncoming.
Screenshot_20221003-131837.jpg
 
Hakuna raha Kama kuwafunga nyumbu ....

Kabla ya game kuanza nilijua kabisa Hawa united wamemfunga Liverpool na arsenal kwa kucheza count attack za rashford na Sancho ...

Pep aliligundua mapema sana ,ndio maana ake na akanji walikuwa nyuma kabisa ,cancelo na walker walitanua uwanja pembeni kabisa tukawa 2-3 ,benrdo akawa anarudi nyuma kabisa kuchkua mipira wakawa namba 6 wawil gundo na Bernado ndio maana hukuweza kuona Mikimbio ya rashford na Antony kuingia kwenye box...

ilifika muda ederson akawa sehemu ya mchezo ederson - ake ,akanji ,-----cancelo, walker wametanua uwanja , rashford akija kupress na Bruno ziliuwa zinapigwa pass tu kuwatoka mbele Mikimbio ya kdb na haaland iliwamaliza united ,hakuna Cha malacia wa varane [emoji23][emoji23][emoji23]....

Hii ndio dawa ya timu zinazotegemea counter ,Nina hamu na spurs mbwa wale wanapenda sana kuvizia ,na last time walitufunga kwa kuvizia counter attack ...!!!
FB_IMG_16648151066251141.jpg
 
Hakuna raha Kama kuwafunga nyumbu ....

Kabla ya game kuanza nilijua kabisa Hawa united wamemfunga Liverpool na arsenal kwa kucheza count attack za rashford na Sancho ...

Pep aliligundua mapema sana ,ndio maana ake na akanji walikuwa nyuma kabisa ,cancelo na walker walitanua uwanja pembeni kabisa tukawa 2-3 ,benrdo akawa anarudi nyuma kabisa kuchkua mipira wakawa namba 6 wawil gundo na Bernado ndio maana hukuweza kuona Mikimbio ya rashford na Antony kuingia kwenye box...

ilifika muda ederson akawa sehemu ya mchezo ederson - ake ,akanji ,-----cancelo, walker wametanua uwanja , rashford akija kupress na Bruno ziliuwa zinapigwa pass tu kuwatoka mbele Mikimbio ya kdb na haaland iliwamaliza united ,hakuna Cha malacia wa varane [emoji23][emoji23][emoji23]....

Hii ndio dawa ya timu zinazotegemea counter ,Nina hamu na spurs mbwa wale wanapenda sana kuvizia ,na last time walitufunga kwa kuvizia counter attack ...!!!View attachment 2376393

Hahaha!...na inavutia kiukwel, iyo style wanaiita The Poznań, ni style alimaarufu sana ya kushangilia kwenye Derbies.
 
Ila kwenye aya maisha hakuna jambo zuri kama #UVUMILIVU maana zamu ya mtu ikifika huwezi kuizuia kabisa.

#FODEN ametoka mbali sana pale City kutoka kuwa muokota mipira akiwa akademi ya City hadi kuwa #StarBOY...#GodBLESSHim.

20221003_205326.jpg
 
Back
Top Bottom