Hakuna raha Kama kuwafunga nyumbu ....
Kabla ya game kuanza nilijua kabisa Hawa united wamemfunga Liverpool na arsenal kwa kucheza count attack za rashford na Sancho ...
Pep aliligundua mapema sana ,ndio maana ake na akanji walikuwa nyuma kabisa ,cancelo na walker walitanua uwanja pembeni kabisa tukawa 2-3 ,benrdo akawa anarudi nyuma kabisa kuchkua mipira wakawa namba 6 wawil gundo na Bernado ndio maana hukuweza kuona Mikimbio ya rashford na Antony kuingia kwenye box...
ilifika muda ederson akawa sehemu ya mchezo ederson - ake ,akanji ,-----cancelo, walker wametanua uwanja , rashford akija kupress na Bruno ziliuwa zinapigwa pass tu kuwatoka mbele Mikimbio ya kdb na haaland iliwamaliza united ,hakuna Cha malacia wa varane [emoji23][emoji23][emoji23]....
Hii ndio dawa ya timu zinazotegemea counter ,Nina hamu na spurs mbwa wale wanapenda sana kuvizia ,na last time walitufunga kwa kuvizia counter attack ...!!!
View attachment 2376393