Mwamba kajitahidi Ku adapt chapDias asipokuwa makin anaenda kuchukuliwa namba na akanjiView attachment 2375410
Jamaa yuko vzr..kuna watu walimbeza lkn Akanji beki mzr sana na imekua addition nzr sana kmy team.Dias asipokuwa makin anaenda kuchukuliwa namba na akanjiView attachment 2375410
Napenda mno akimaliza na john stoneJamaa yuko vzr..kuna watu walimbeza lkn Akanji beki mzr sana na imekua addition nzr sana kmy team.
Yupo vizuri na anautulivu pia atatusaidia, huyu R.Dias ajipange na urukaji wake wa kunyosha mamikono dah huwa simuelewi kabisa sometime.Jamaa yuko vzr..kuna watu walimbeza lkn Akanji beki mzr sana na imekua addition nzr sana kmy team.
Ichi kitasa noma mzee jana ana 96% pass accuracy na ndo mambo anayoyataka pep ayo...maana mabeki wengi wanaopiga passes vizuri wanauwezo mzuri wa kupress...jana tulimkosa tu tackling master( Rodri).Dias asipokuwa makin anaenda kuchukuliwa namba na akanjiView attachment 2375410
Kapatikana kwa €17million tu...nawaambiaga watu kuwa wachezaji wazur wapo sana na wabei nzuri ila kikubwa inategemea na Scouting ya timu, Jicho la kocha na kuepuka Promo za media.Jamaa yuko vzr..kuna watu walimbeza lkn Akanji beki mzr sana na imekua addition nzr sana kmy team.
Hapa sasa mkuu...tuwachezeshe kina alvarez, mahrez, na Sergio gomez. Bwana haaland ampumzishe lakini kama kocha ataona kuna umuhimu wa kumchezesha haaland sio mbaya ili aongeze magoli maana anakimbizana na WATU NA NUSU(Benzema na Lewando) so anaweza cheza ata kwa kipindi kimoja na kumpisha alvarez naye awake.Kituo kinachofata ni copenhagen fc...marehemu ajaye
Guardiola kasema atafanya rotation ya kikosi kwaiyo tuwategemee kina mahrez,Alvarez,laporte na Diaz na gomezHapa sasa mkuu...tuwachezeshe kina alvarez, mahrez, na Sergio gomez. Bwana haaland ampumzishe lakini kama kocha ataona kuna umuhimu wa kumchezesha haaland sio mbaya ili aongeze magoli maana anakimbizana na WATU NA NUSU(Benzema na Lewando) so anaweza cheza ata kwa kipindi kimoja na kumpisha alvarez naye awake.
Nzuri sana kuwapumzish vijana maana game za EPL ni ngumu...ukizingatia tuna game na Liver na Asenal kabla ya likizo ya WorldCup!!!Guardiola kasema atafanya rotation ya kikosi kwaiyo tuwategemee kina mahrez,Alvarez,laporte na Diaz na gomez
Nafikiri haina haja ya kuwaza sana...pep yupo smart sana atang'amua hili...kama umeona vizur jana Gundo kacheza Holding lakini muda mwingi Bernado alishuka chini kumsaidia kama Deep Lying PlayMaker.Kalvin Phillips kafanyiwa upasuaji wa bega kwaiyo jamaa ni out,stones out,walker out,rodri out..
Hali kama hii kwenye mwezi huu ambao ni mechi kila baada ya Siku tatu inaweza ikatu affect hasahasa eneo LA kiungo ambapo natural DM wote ni majeruhi ambapo mikoba kashika gundo....
Gundo nae umri unaenda hatakiwi kupiga mechi back to back atahitaji kupumzika...
Kyle walker bado haijajulikana ukubwa wa tatizo lake ...stones atarejea kabla ya world cup....
Kwenye back line sina shida sana coz tuna msururu wa mabeki...hapo kwenye midfield sasa...tuombe gundo nae yasimkute
Hii partnership itatuletea makubwa ndugu...ngoja tusubiri...Nampongeza sana Txikik wa City kutuletea ili Jini kwa kweli.Hii partnership ya jini na foden inaweza kutupa mengi zaidi
View attachment 2375718
Hawa madogo hawa...Hii
Hii partnership itatuletea makubwa ndugu...ngoja tusubiri...Nampongeza sana Txikik wa City kutuletea ili Jini kwa kweli.
View attachment 2375746
View attachment 2375747