The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Haya niliyasema hapa, ila tayari upepo ushanza kuvuma kwa kasi kutokea Spain...lakini cha kushukuru bodi iliweka pesa kubwa kama release clause ambayo ni €200m kama itakuja timu kumtaka msimu ujao wa pili katika mkataba wake(2023/2024) na €175m kama timu ikija kumhitaji kwa msimu wa tatu wa mkataba wake yaani 2024/2025.

MARCA PUBLICATION
Manchester City

Haaland has 2024 release clause that would let him join Real Madrid.​

Former Real Madrid player and former president of Malaga, Fernando Sanz, has claimed that Erling Haaland has a clause in his contract with which he can join Real Madrid from Manchester City in 2024.

The Norwegian striker is in his first season in the Premier League and he has already scored 15 goals for his new club, looking set to break all the records that lay before him.

As Sanz claimed on El Chiringuito, the striker has the chance to take his immense talent to Real Madrid in 2024 instead.

"The information I have is that there is an exit clause for Haaland in the second year, and the curious thing is that it has very beneficial conditions compared to the rest for one club, which is Real Madrid," explained the son of Lorenzo Sanz, former president of Real Madrid.

Manchester City

Haaland has 2024 release clause that would let him join Real Madrid​

Revealed by Fernando Sanz



Erling Haaland
  • ENRIQUE CORBELLA
  • ADAPTED BY SAM
04/10/2022 - 04:55 CDT
En Español

Cerrar Publicidad

Former Real Madrid player and former president of Malaga, Fernando Sanz, has claimed that Erling Haaland has a clause in his contract with which he can join Real Madrid from Manchester City in 2024.

The Norwegian striker is in his first season in the Premier League and he has already scored 15 goals for his new club, looking set to break all the records that lay before him.

"He was born with it" - Pep on Haaland's performance in 6-3 United demolition

As Sanz claimed on El Chiringuito, the striker has the chance to take his immense talent to Real Madrid in 2024 instead.
"The information I have is that there is an exit clause for Haaland in the second year, and the curious thing is that it has very beneficial conditions compared to the rest for one club, which is Real Madrid," explained the son of Lorenzo Sanz, former president of Real Madrid.

Haaland has different release clauses at Manchester City​

There are different release clauses included in Haaland's contract at Manchester City, as was reported by MARCA back in July 2022.
The release clauses at Manchester City are 200 million euros in 2024 and 175m euros in 2025.
The Norwegian managed to impose two release clauses on Manchester City. It is the same formula he has used to leave Borussia Dortmund for 70m euros and RB Salzburg in 2019 for 20m euros.

These release clauses are linked to the prior achievement of sporting objectives.

Haaland's future plan could go through Spain​

Alfie Haaland, father of Erling Haaland, revealed in the documentary 'Haaland, the big decision' that his son wants to play in multiple leagues.

"I think Erling wants to test his abilities in all leagues, then he can stay in them for three or four years at the most," Alfie Haaland said.

"He could be, for example, two and a half years in Germany, two and a half years in England and then in Spain, Italy, France, right?"

Haaland has 2024 release clause that would let him join Real Madrid

Madrid wanasubiri kwanza utawala wa benzema Upite pale RealMadrid, kisha wamjie haaland...YANI HAWA BARCA NA MADRID WANANIUDHIGI HAPO TU WANAPOAMINI WAO TU NDO WANA DESERVE WACHEZAJI WAZURI NA SIO TIMU NYINGINE.
 
Mnamsifia Sana Haland mnasahau mpishi KDB
Mkuu sio kwamba sie ndo tunamsifia tu haaland...bali hali ndo ilivyo humo mitandaoni kila page/Account ni yeye...Nasisi tunapost yaliyopo kwa wenzetu uko.

But uwezo wa KDB unafahamika vyema tu haina haja ya kujadili kabisa.

Na hajadiliiwi nafikiri kwasababu...anafahamika kuwa YEYE DAILY ANA PERFORM VYEMA...Na ndio maana unaona huwa hapewi zile tuzo za mwezi kila mara pamoja na uwezo wake hasa kuAssist kila mechi.

Na mfano ata tu timu bora ya wiki Hii kule EPL hajaingia lakini ukiangalia hapo utaona kabisa mtu kama MADDISON anamtoaje KDB apo kati?...Hivyo unakuta KDB ameshazoeleka uwezo wake ni huo huo kila mechi. Na usipowapa wengine credit ambao wanajaribu kujitutumua waeza shangaa kila mwezi anabeba na hizo timu of the week anaingia kila mara.

Sasa kwa muktadha huo kwenye mambo madogo madogo kama hayo huwa hapewi labda kama utakuta kafanya kitu kikubwa sana kama msimu uliopita ile mechi ya Wolves aliyopiga goli.4 na assist kwenye mechi moja.

Na mwisho wasiku utamkuta kwenye matuzo ya PLAYER OF THE SEASON. Hizo ndogo ndogo wakisema wampe yeye kwasababu ya uwezo wake na hiyo apo pia akabeba...wachezaji wengine watapewa nini sasa?

 
Mkuu pep linapokuja swala la mchezaji kuondoka hana kulemba kabisa ,anajiamin katika mbinu zake na anajua kuwatengeneza wachezaji ilimradi wanakipaji ...

Hata Bernado yupo kwenye process za kuongezewa mkataba lakin pep kashasema next season Kama kuna timu itakuja na cash 80million basi watamruhusu aende ...

Haaland kwenda Spain pep hawezi kumkataza hata siku moja ,ilimradi tu mkwanja wa maana waweke mezani ...

Aliondoka sane ,kwenda buyern akiwa kwenye form lakin pep alionesha Kama hakuna kitu kilichotokea ....Jesus , sterling,wote wameondoka lakin hakuna mtu anayekumbuka mapengo yao ....

Hata haaland siku akitaka kuondoka pep hawezi kumkataza ,tabia ya pep ni moja haamin katika mtu mmoja ,anaamin katika mfumo ambao ni teamwork ....
 
Ni kweli pep anao uwezo unaosema kuinua kipaji kingine. Lakini HAALAND IS THE HELL OF STRIKER...city walihitaji mtu wa aina yake maana walikuwa na uwezo wa kutengeneza nafasi nyingi kila game tokea apo awali ila palikuwa na shida ya striker ambaye ni FINISHER na haaland ndo anachokifanya pale sahivi.

Ofcourse kwa mauzo yake kama yatafanyika kwa kiasi icho cha Release clause kwenge mkataba wake tutakuwa tumerudisha pesa mara tatu ya ile tuliyomnunulia kutoka dortmund.

Lakini kama hali hii ya kelele za kwenda real madrid itaendelea kwenda kasi...itakuwa ni bora aanze sasa kumuamini Alvarez mapema na ampe dakika.90 za mechi kadhaa na kumpumzisha haaland asicheze baadhi ya mechi ili yule alvarez aweze kuingia vyema kwenye mfumo na isije ikatokea shida mara baada ya haaland kuondoka etihad.
 
Tatizo baba yake haaland ni tamaa za pesa ndio zinamfanya ahangaike na kuanza kutoa maneno yake et haaland anataka kucheza Kila league.....hapo maana yake anazipa message timu kubwa hasa za Spain kuwa haaland yupo tayari kutoka city maana hata yeye anajua anaenda kupiga helaa ...
 
.[emoji860] Sergio Gomez:

“I’m Living A Dream, I Try To Help. I Know The Value Of The Win On Sunday For Us And The City Fans. I’m Happy For The Result, A Very Important Result. I’m Not From Here, But I Love City And It’s Important To Me.”
 
[emoji860] Alfie Haaland:

“I Think Erling Wants To Test Out His Capabilities In Every League. Then He Can Stay In Every League For Three To Four Years Maximum. He Could Have 2 1/2 Years In Germany, 2 1/2 Years In England, And Then In Spain, Italy, France, Right? Laughs

Hayo ndio maneno ya baba yake haaland baada ya international break ,wengi wamemshambulia mzee , ...

 
Wazazi wa namna hii ni ovyo sana na ile ndo anapeleka meseji kuwa Barca na Real wakimtaka haaland wapitie kwake pia maana yeye ana uwezo wa kumshawishi kijana wake.

Lakini bora angekaa kimya na kumuacha mwanae afanye kazi iliyomleta pale etihad maana mkataba wa haaland pale city ndo kwanza hajamaliza ata miezi.6

Ngoja tuone lakini uzuri ni kuwa manager wa city bwana pep ni kichwa kingine kile na anauzoefu wa ku manage mastaa wakiwemo kina Zlatan na Messi...hivyo atajua tuu hii stuation aitulize vip incase likitokea la kutokea uko mbeleni.

Na nilichogundua hapa ni kuwa HUENDA HAALAND MWENYEWE WALA HANA MAWAZO HAYO KWASASA BALI NI BABA YAKE NDO ANATAKA KUMSHAWISHI MWANAYE KUFIKIRIA KWENDA UKO REAL/BARCA.

Muda mwengine ku manage wachezaji mastaa wenye majina kama haaland huwa ni shida...asije tuharibia tu timu maana uko mbeleni ata aki demand aongezewe mshahara(ata £500k per week ambayo mwanzoni kabla hajaenda city alitaka alipwe hivyo endapo angeenda Barca/Madrid)...haitakuwa vizuri na inaweza pelekea wachezaji wengine wakajiona wao hawana umuhimu kikosini kutokana na gap kuwa kubwa kati yake na wao...ivyo kushusha morale ya timu na kuharibu wage structure.
 
Wazee wa hivi ni tatizo kwa kweli...ukute hakujiwekeza ujana wake sasa anategemea kuishi kupitia mwanae.

But ngoja tuliache kama lilivyo maana hatujui alipata tabu vip kumkuza mwanae bana.
 
Jamaa alinikosha sana...alivyopiga ile LowBlock cross kwa haaland katika derby.
 
Leo hawa watoto ni wa kuwachapa fimbo 4 swaafi za mgongo
 
Leo hawa watoto ni wa kuwachapa fimbo 4 swaafi za mgongo
View attachment 2377838
Hapo haaland ngoja aongeze idadi ya magoli na virecord vyao avivunje basi, but nahisi leo watachezesha wachezaji wengi wa bechi yani tutegemee kuwaona kina Mahrez, palmer,Josh Esbrand, laporte, alvarez, gomez, gundo na rodri pia maan alisharudi mazoezin ili apate match fitness.

Viungo wenyewe ata kama KDB atacheza sidhani kama atamaliza dk.90 apo coz kuna game ngumu mbeleni haina haja ya kumaliza nguvu kwa hao watoto.
 
Injury ya walker ni fursa adhimu kwa Sergio Gomez Kuonyesha alichonacho....
Akipata muda wa kutosha anaonekana ni balaa na nusu
 
Injury ya walker ni fursa adhimu kwa Sergio Gomez Kuonyesha alichonacho....
Akipata muda wa kutosha anaonekana ni balaa na nusu
Kanikosha sana na ile assist yake ya juzi mkuu. Naimani akipewa mda ni mzuri sana.
 
Mahrez nae inatakiwa Leo afanye kweli....akiwasheee

Leo pep anafanya rotation kwaiyo Nina imani mwamba atapata nafasi...

Hizi ndo mechi za kurudisha imani ya kocha
 
Naona Leo pep anaanza na double striker

Haaland.......Alvarez



Grielish.....Bernardo....gundo...mahrez


Gomez....laporte....Diaz.....cancelo


Ederson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…