The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Haaland's hat trick denied so mbaya acha apumzike mpaka sasa ni top score UCL akiwa na goli 5....
 
Angalau machine cancelo apumzike nayeye maana dah..ni bandika bandua
 
Ila nyie jamaa... tupeni striker mmoja majirani zenu. [emoji16]
Hahaha!...mbaya zaidi ata huyu haaland tuliyenaye, mlipigiwa simu na CEO wa molde F.C ya Norway bwana John-Vick wakati huo Ole alikuwa ndo kocha wao na haaland alikuwa bado hajaenda ata kule Salzburg.

Mkaambiwa kuna mtoto huku ni striker yupo vizuri sanaaa, mkadharau bana na hamkwenda ata kumuangalia sasa. muda mwingine mnafurahisha sana UNITED a.k.a History FC na makombe yenu yale mlobeba tokea 1907/1908, 1911 kipindi icho ata offside hakuna..😂😂😂😂😂



Nasio huyo tu ata Alvarez mwenyewe mliambiwa mkatuma Scout wenu wakamwona vyema mkasema mtarudi ila cha ajabu hamkurudi tena. Na mliambiwa £16m tu....nahisi nyie ndo mkafanya hadi sie City tushushiwe bei ya Alvarez hadi kuuziw £14m...maana RiverPlate walihisi huenda bei ya dogo ipo juu ndo maana hamkurudi tena 😆😆😆

POOR UNITED...TATIZO MNAVIMBAGA SANA KUJIONA NYIE NDO WABABE WA ENGLAND...KUMBE MMEBAKI KWENYE MAKARATASI TU YA HISTORIA HUKU NYAKATI ZIKIWAACHA NA HAZIRUDI NYUMA TENA..."In Short GLORY DAYS ARE OVER"

Wakati huo mkijikuta Sio kila mchezaji ana hadhi ya kuchezea kwenu united...sisi City tulichukua kila aliyekuwa tayar kucheza kwetu ili mradi tusiondoke ligi kuu tu, ila chakushangaza upepo umebadilika sahivi ndo mnawatafuta wachezaji wa hadhi yenu alafu wanawakataa Sasa( Reference: F. De Jong).

Na kauli zenu zilivyokuwaga za kishujaa sasa...muangalie babu apo 2009 anatoa kauli #KAVU...Afu juzi tu apo etihad mmepigwa 6 akabadilika adi rangi usoni....shenz!, anajiuliza imekuwaje wakati sisi City sio favourite wa kushinda kwenye DERBY???
 
Jana pep kaulizwa kuhusu mkataba wa haaland Kama una realease clauses ya kwenda real Madrid kakataa.....

Ndio kwanza game 12 tu alizocheza city lakin watu wanataka aende Madrid [emoji23][emoji23]
 
Jana pep kaulizwa kuhusu mkataba wa haaland Kama una realease clauses ya kwenda real Madrid kakataa.....

Ndio kwanza game 12 tu alizocheza city lakin watu wanataka aende Madrid [emoji23][emoji23]
Hahahahahaaa dogo kawa tishio sana ndani ya kipindi kifupi na naendelea kusema kadrii siku zinavyosonga atazidi kufanya mengi ya kushangaza.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Jana pep kaulizwa kuhusu mkataba wa haaland Kama una realease clauses ya kwenda real Madrid kakataa.....

Ndio kwanza game 12 tu alizocheza city lakin watu wanataka aende Madrid [emoji23][emoji23]
Hizi media Nazo ni uchwara tu yani mapema hivi duh
 
Kama hatokuwa na majeruhi yoyote huu msimu anachukua kiatu cha epl na uefa
 
Hivi Hawa vibonde manyumbu walimfunga vip arsenal na man UTD [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ile.mishutiii ya Gomez juzi kwenye uefa ,natamani aendelee vile vile aisee ,naona akimreplace walker vzuri sana .....
 
Saton msimu ulioisha tulienda kwake alitukazia vibaya mnoo mpaka tukatoka draw ....

Kiufupi msimu uliopita saton alitudhibiti vibaya mnooo tuliambulia point 2 home and away .....


Kesho tuko nae ....
 
Journalist: “When you coached Messi you expected him to score in every game, do you have the same feeling now with Haaland?”

Pep Guardiola: "Yes! The difference is that Haaland needs all his teammates to do it. Messi had the ability to do it alone"
 
SISI KAMA SOUTHAMPTON TUNAANZA LIGI LEO [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…