Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So mbaya mkuu acha amuachie na Alvarez kidogoHi sub ya haaaland sijaielewa kabisa
Pep kaamua kumnyima hat trick haaland ,......Hi sub ya haaaland sijaielewa kabisa
Alipaswa amuache afunge goli nyingi awezavyoSo mbaya mkuu acha amuachie na Alvarez kidogo
Hahaha!...mbaya zaidi ata huyu haaland tuliyenaye, mlipigiwa simu na CEO wa molde F.C ya Norway bwana John-Vick wakati huo Ole alikuwa ndo kocha wao na haaland alikuwa bado hajaenda ata kule Salzburg.Ila nyie jamaa... tupeni striker mmoja majirani zenu. [emoji16]
Hahahahahaaa dogo kawa tishio sana ndani ya kipindi kifupi na naendelea kusema kadrii siku zinavyosonga atazidi kufanya mengi ya kushangaza.Jana pep kaulizwa kuhusu mkataba wa haaland Kama una realease clauses ya kwenda real Madrid kakataa.....
Ndio kwanza game 12 tu alizocheza city lakin watu wanataka aende Madrid [emoji23][emoji23]
Hizi media Nazo ni uchwara tu yani mapema hivi duhJana pep kaulizwa kuhusu mkataba wa haaland Kama una realease clauses ya kwenda real Madrid kakataa.....
Ndio kwanza game 12 tu alizocheza city lakin watu wanataka aende Madrid [emoji23][emoji23]
Ataenda tu muda ukifika na hilo halitaepukikaHizi media Nazo ni uchwara tu yani mapema hivi duh
Mpira hauna formula wakati mwingineHivi Hawa vibonde manyumbu walimfunga vip arsenal na man UTD [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]