Tunagawa dozi tu....tuna hamu na nyie vibonde tuwakung'uteNyie matakataka munaendeleaje?
Aise achana kabisa na sisi .. tutakuja kata utepe uoTunagawa dozi tu....tuna hamu na nyie vibonde tuwakung'ute
Yes lazima afunge, asipofunga binafsi sipati rahaHivi haaland kwani ni lazima afunge kila mechi?
Itafika wakati timu ikicheza na City...ubao unasoma (1-0 au 0-1) kabla goli halijafungwa maana haaland kutoka patupu ni ngumu.Hapo haaland Bado moja afunge mahesabu
Kijana unapata wapi nguvu za kutoa kauli za kishujaa kama hizi...wakati HAKUNA TIMU YEYOTE ILE HADI SASA KWENYE EPL YENYE IDADI YA MAGOLI YA KUFUNGA TU KUMFIKIA HAALAND, Na timu yako ikiwemo humo ndani.😅😅😅Aise achana kabisa na sisi .. tutakuja kata utepe uo
Huyu jamaa sasa aitwe tu #TERMINATOR #HeIsNotHumanAnyMore.Yes lazima afunge, asipofunga binafsi sipati raha
Mwamba ni balaa huyu
Balaa na Nusu...Na Hatari zaidi kakutana na mtu mwenye uwezo mkubwa wa kuConvert Chances kuwa magoli.Mwamba ni balaa huyu
Cheltako bana [emoji23]Acheni ushamba nyie .. huyu halaand hafiki desemba atakuwa anatafuta mpira kwa tochi. Kwa sasa chelsea moto ushawaka[emoji2957][emoji2957]
Acha kulinganisha Haaland na vitu vya ajabu huyu ni MTU na 1/2Acheni ushamba nyie .. huyu halaand hafiki desemba atakuwa anatafuta mpira kwa tochi. Kwa sasa chelsea moto ushawaka[emoji2957][emoji2957]
Wewe ndo utakua unamkaba au?Acheni ushamba nyie .. huyu halaand hafiki desemba atakuwa anatafuta mpira kwa tochi. Kwa sasa chelsea moto ushawaka🤪🤪