The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hapo haaland Bado moja afunge mahesabu
Itafika wakati timu ikicheza na City...ubao unasoma (1-0 au 0-1) kabla goli halijafungwa maana haaland kutoka patupu ni ngumu.
20221009_154921.jpg
 
Aise achana kabisa na sisi .. tutakuja kata utepe uo
Kijana unapata wapi nguvu za kutoa kauli za kishujaa kama hizi...wakati HAKUNA TIMU YEYOTE ILE HADI SASA KWENYE EPL YENYE IDADI YA MAGOLI YA KUFUNGA TU KUMFIKIA HAALAND, Na timu yako ikiwemo humo ndani.😅😅😅

20221009_154016.jpg
 
Ichi kichwa hivi sasa wanakiita #FootBallCALCULATOR...Wakifanya mzaha EPL ataifanya kama League.1 ya Ufaransa.
20221009_160504.jpg
 
Mwamba ni balaa huyu
Balaa na Nusu...Na Hatari zaidi kakutana na mtu mwenye uwezo mkubwa wa kuConvert Chances kuwa magoli.
20221009_154038.jpg


Na kwa aina ya mpira wa city...tutashuhudia mengi msimu huu kama haaland hatopata injury.
 
Acheni ushamba nyie .. huyu halaand hafiki desemba atakuwa anatafuta mpira kwa tochi. Kwa sasa chelsea moto ushawaka🤪🤪
 
Mwaka huu hakuna upinzani kbsa hao arsenyeto kama Gari la mkaa tu
Tutabeba kombe lolote mbele yetu [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170] Manchester city forever
 
Back
Top Bottom