The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Liverpool wanachotuzidi sisi ni spirit ya upambanaji ...

Ukiaangalia hata ile game tuliyofungwa 3-1 community shield utagundua Liverpool wanaspirit ya kupambana tofauti na sisi ambao Mara nyingi tunacheza relaxed game with tactics, ndio maana game nying na Liverpool tunakuwa favorite,likini Liverpool ana tu outsmart mapema ....

Game ya fa 3-2 ,Kama kawaida mpaka HT tulikuwa tumeshapigwa 3-0 kwa sababu ya kucheza relaxed game ,no fighting spirit ,mtu Kama grealish [emoji23] anacheza Kama msanii flani hivi amerelax Hana roho ya kupambania timu kabisa ,yaani unamuona kabisa anadepend kwenye mfumo na sio kujitoa .....hiki ndio kilitutoa uefa Tena na Madrid .... sometimes timu pinzani inaweza kutuzid mbinu ,hapo kocha ananyoosha mikono kinachobaki ni roho ya upambanaji ya kujitoa hali na mali ,jasho na damu kuipigania timu hili swali limekuwa likitufelisha Sanaa ...

Ukiaangalia vzuri kdb & gundo kidogo ndio Wana hiyo spirit .... kumbuka hata game ya astonvilla....2-0 down mpaka pep anaonyesha kugive up but kdb anafunga mkanda kiatu nakuhimiza kupambana ....

Pep anatakiwa kuingiza hii spirit ya upambanaji kwenye timu ,yaani wachezaji kufia timu ,game hizi mhimu za kuamua matokeo,mbinu tu hazisaidiii ....
 
Iwe jua iwe mvua kuku lazima anyonyolewa tu.wee baki na historia ya mwaka jana huko Klop anawaza kipigo kitakachompata j'pili.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Kesho ni suala la Haaland kuendelea pale alipoishia...maana sioni defence ya Liverpool kuacha kuConcede goals ila awe makini tu maana watu kama Fabinho ashindwi kumpa mtu majeruhi...maana Liverpool iyo game watacheza kufa na kupona kwa kuwa wana hali mbaya mno kwenye msimamo.


Na KDB pia aendeleze assist tu, kikubwa awe Fit.


#FODEN tutegemee kuwa katika kiwango kizuri mnamo kesho kwa kuwa hizi game keshazicheza na ana experience nazo...hivyo nae Kujiongezea Goals+Assists.
 
Tutegemee kumuona mkuu
Na ndio itakuwa mistake ya kwanza ,jack hawezi kuforce kwenda mbele ,kurudi nyuma kumsaidia cancelo inakuwa ngumu .... tegemea Liverpool wakiingia na high energy,pressing kalii Sasa jack anavopozaga mashambulizi unategemea Nini .....

Game ya Liverpool Leo ni Kama final ,baada ya kufungwa na arsenal,watakuwa hali mbaya zaidi Kama watapoteza game Leo ,hivyo basi usitegemee game nyepesi kabisa ...

Pale anfield ni pagumu ,Mara ya mwisho kushinda ni 4-1 na palikuwa hapana mashabiki kipindi Cha corona ...

Hii game Mimi naiona draw kabisa .....Kama tukishinda itakuwa bonus ,Kama unafuatilia game za Liverpool vs man city toka pep atue na klopp ,nitakushangaa sana ukiwa underrate Liverpool....
 
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯At Anfield the Stage is SetπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Supprizing!...kuna watu wanategemea huu muujiza wa Klopp kufanya kazi hii leo. Let's See...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…