Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Liverpool wanachotuzidi sisi ni spirit ya upambanaji ...
Ukiaangalia hata ile game tuliyofungwa 3-1 community shield utagundua Liverpool wanaspirit ya kupambana tofauti na sisi ambao Mara nyingi tunacheza relaxed game with tactics, ndio maana game nying na Liverpool tunakuwa favorite,likini Liverpool ana tu outsmart mapema ....
Game ya fa 3-2 ,Kama kawaida mpaka HT tulikuwa tumeshapigwa 3-0 kwa sababu ya kucheza relaxed game ,no fighting spirit ,mtu Kama grealish [emoji23] anacheza Kama msanii flani hivi amerelax Hana roho ya kupambania timu kabisa ,yaani unamuona kabisa anadepend kwenye mfumo na sio kujitoa .....hiki ndio kilitutoa uefa Tena na Madrid .... sometimes timu pinzani inaweza kutuzid mbinu ,hapo kocha ananyoosha mikono kinachobaki ni roho ya upambanaji ya kujitoa hali na mali ,jasho na damu kuipigania timu hili swali limekuwa likitufelisha Sanaa ...
Ukiaangalia vzuri kdb & gundo kidogo ndio Wana hiyo spirit .... kumbuka hata game ya astonvilla....2-0 down mpaka pep anaonyesha kugive up but kdb anafunga mkanda kiatu nakuhimiza kupambana ....
Pep anatakiwa kuingiza hii spirit ya upambanaji kwenye timu ,yaani wachezaji kufia timu ,game hizi mhimu za kuamua matokeo,mbinu tu hazisaidiii ....