The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Oyaaa tunafukuza mwizi kimyakimyaaa...acha arsenal waendelee kukata mauno hapo juu tunakuja soon watajua hawajui
 
Ndo kashaanza kupisha njia hivyo , tena naona kwa yeye kuwa nafasi ya 3 ama ya 4 kabisa siku za usoni isitoshe miguu ishaanza kuwa mizito kukamatwa kwake kupo karibu sana wakati ukuta.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Ila kale ka upande ka kulia kanapwaya kinoma yaan walker apone tu asee.....kuna probability asiwepo hizi mechi zote zilizobaki kabla ya world cup
 
Ila kale ka upande ka kulia kanapwaya kinoma yaan walker apone tu asee.....kuna probability asiwepo hizi mechi zote zilizobaki kabla ya world cup
Akanji ndio anacheza ule upande na kuna muda anapotea a kabisa ....

Kitu kingine Kama ederson hatoweza kuwa mzuri kwenye shots stopper basi uefa tutaendelea kuisikia kwenye Bomba aisee ...

Lile goli la trossard huwezi mfunga hata pope wa Newcastle....achilia mbali alisson , Pickford.....mashot ya mbali yanamshinda kustop ....

Na uefa kuna timu kibao Zina midfielders aina ya trossard kuachia long shot bullets ni swala la kawaida ...

Kitu kingine grealish ,Mahrez daa wanazidi kuwa wazito ,sijui tatizo Nini ....
 
Like goli LA Brighton mpaka ilinibidi nicheke tu dah.....jamaa ni pazia kabisa hakuna mtu pale

Hili suala pep huwa halioni kabisa? Au kisa jamaa Yuko vizuri mguuni?...uwezo wa kudaka ni zero kabisa...

Tutakaa tunategemea possession itulinde mpaka lini?
 
Newcastle ni moto balaaa ,jana wametembeza moto kwa spurs hatari [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…