Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Kelvin aka Fei toto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wametangulia na baiskeli ya miti.Oyaaa tunafukuza mwizi kimyakimyaaa...acha arsenal waendelee kukata mauno hapo juu tunakuja soon watajua hawajui
Naona anfield mukapakatwa bhana hehehe yani kuku zenye kideri zikawadonoa takataka ninyi.Kesho anfield tutakuwa na huu uziiView attachment 2387527
Wewe umeshindwa kumfikisha nyumbu kileleni aseeNaona anfield mukapakatwa bhana hehehe yani kuku zenye kideri zikawadonoa takataka ninyi.
Uhakikaaaa hawana pumzi haoNdo kashaanza kupisha njia hivyo , tena naona kwa yeye kuwa nafasi ya 3 ama ya 4 kabisa siku za usoni isitoshe miguu ishaanza kuwa mizito kukamatwa kwake kupo karibu sana wakati ukuta.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Sisi tumeshaqualifie tayari ,kwa pep navomjua usitegemee kuona energy kubwa sana .....!Haya sasa uefa hiyo apo ni kukichafua tu
Akanji ndio anacheza ule upande na kuna muda anapotea a kabisa ....Ila kale ka upande ka kulia kanapwaya kinoma yaan walker apone tu asee.....kuna probability asiwepo hizi mechi zote zilizobaki kabla ya world cup
Like goli LA Brighton mpaka ilinibidi nicheke tu dah.....jamaa ni pazia kabisa hakuna mtu paleAkanji ndio anacheza ule upande na kuna muda anapotea a kabisa ....
Kitu kingine Kama ederson hatoweza kuwa mzuri kwenye shots stopper basi uefa tutaendelea kuisikia kwenye Bomba aisee ...
Lile goli la trossard huwezi mfunga hata pope wa astonvilla....achilia mbali alisson , Pickford.....mashot ya mbali yanamshinda kustop ....
Na uefa kuna timu kibao Zina midfielders aisa ya trossard kiachoa long shot bullets ni swala la kawaida ...
Kitu kingine grealish ,Mahrez daa wanazidi kuwa wazito ,sijui tatizo Nini ....
Spurs nao ni wapuuzi tu japo hata sisi tulishindwa lakin Newcastle ni wa kawaida tuNewcastle ni moto balaaa ,jana wametembeza moto kwa spurs hatari [emoji