Tukiwa uwanjani najua huwa unaburudika sana kwa pira tunalopiga.....cheki Leo tutakavyofanya ukatili wa karneMtakuka Sana mwaka huu
Na bado[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tukiwa uwanjani najua huwa unaburudika sana kwa pira tunalopiga.....cheki Leo tutakavyofanya ukatili wa karne
Kakosa penalty mbili mfululizo za uefa tena zile mhimu ambazo zinaamua ushindi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imagine ni knock out stage harafu anafanya ule ujinga ....Mahrez Bench linamuita, sio yule wa misimu kadhaa nyuma.
Akipigwa bench waafrika tutasema Pep hapendi waafrika kumbe ni perfomance mbovu ya mchezaji husika.
No retreat no surrender View attachment 2392250
Kwa wachezaji aina ya grealish hatuwezi beba CL walahiii ,na Kama pep bado anaamin hivo basi atasibili sanaaa ....!!!
Siku zote nasema timu yetu Haina fighting spirit kwenye must win game ...hii ya Dortmund sio shida ,ila dalili zinaonesha kabisa ,wachezaji wetu hawawezi kujitoa kwa hali na mali kulazimisha ushindi ...
Pep anasema "haaland katoka kwa sababu alikuwa kachoka sana na cancelo hivyo hivyo " ....
CL inahitaji upambanaji wa jasho na damu ....sioni Kama tunaweza kuchukua CL ...kwa mwenendo huu...
Shot on target 0 hahaha Leo naona tuko mazoezini....
Tukiwa uwanjani najua huwa unaburudika sana kwa pira tunalopiga.....cheki Leo tutakavyofanya ukatili wa karne
Kwani misimu ya nyuma haaland alikuwepo?Kwahiyo man city bila haaland hakuna ushindi? Ina maana timu inamtegemea haaland? Basi sawa
Mkuu fighting spirit ipo hebu fuatlia game zote ambazo zilikua ni must win uone.......Kwa wachezaji aina ya grealish hatuwezi beba CL walahiii ,na Kama pep bado anaamin hivo basi atasibili sanaaa ....!!!
Siku zote nasema timu yetu Haina fighting spirit kwenye must win game ...hii ya Dortmund sio shida ,ila dalili zinaonesha kabisa ,wachezaji wetu hawawezi kujitoa kwa hali na mali kulazimisha ushindi ...
Pep anasema "haaland katoka kwa sababu alikuwa kachoka sana na cancelo hivyo hivyo " ....
CL inahitaji upambanaji wa jasho na damu ....sioni Kama tunaweza kuchukua CL ...kwa mwenendo huu...
Sisi tulikua mazoezini tu.... Huoni haalandinho katolewa mapema tu..subiri wewe leo uliwe kimasihara hahahaahNa bado[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Safi sana Dortmund [emoji1635][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wazee wa kupakatanaSisi tulikua mazoezini tu.... Huoni haalandinho katolewa mapema tu..subiri wewe leo uliwe kimasihara hahahaah
Wajaa laana mnabebaje Uefa nyie?Kwa wachezaji aina ya grealish hatuwezi beba CL walahiii ,na Kama pep bado anaamin hivo basi atasibili sanaaa ....!!!
Siku zote nasema timu yetu Haina fighting spirit kwenye must win game ...hii ya Dortmund sio shida ,ila dalili zinaonesha kabisa ,wachezaji wetu hawawezi kujitoa kwa hali na mali kulazimisha ushindi ...
Pep anasema "haaland katoka kwa sababu alikuwa kachoka sana na cancelo hivyo hivyo " ....
CL inahitaji upambanaji wa jasho na damu ....sioni Kama tunaweza kuchukua CL ...kwa mwenendo huu...
Timu limejaa laana,lazima akose tu🤣Kakosa penalty mbili mfululizo za uefa tena zile mhimu ambazo zinaamua ushindi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imagine ni knock out stage harafu anafanya ule ujinga ....
Tushapita kitaambo acha nawao wafurahie kudroo na team bora ya mwaka heheheeheWazee wa kupakatana
Nakuona buana Unavozunguka kukata mauno tu heheheheMna laana nyie watoto wa ibilisi upara kama tako la sokwe na kombe la uefa mtalisikia tu kwa kina Nottingham forest waja laana wakubwa nyie