The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tukiwa uwanjani najua huwa unaburudika sana kwa pira tunalopiga.....cheki Leo tutakavyofanya ukatili wa karne
Na bado[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Safi sana Dortmund [emoji1635][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mahrez Bench linamuita, sio yule wa misimu kadhaa nyuma.

Akipigwa bench waafrika tutasema Pep hapendi waafrika kumbe ni perfomance mbovu ya mchezaji husika.
Kakosa penalty mbili mfululizo za uefa tena zile mhimu ambazo zinaamua ushindi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imagine ni knock out stage harafu anafanya ule ujinga ....
 
Kwa wachezaji aina ya grealish hatuwezi beba CL walahiii ,na Kama pep bado anaamin hivo basi atasibili sanaaa ....!!!

Siku zote nasema timu yetu Haina fighting spirit kwenye must win game ...hii ya Dortmund sio shida ,ila dalili zinaonesha kabisa ,wachezaji wetu hawawezi kujitoa kwa hali na mali kulazimisha ushindi ...

Pep anasema "haaland katoka kwa sababu alikuwa kachoka sana na cancelo hivyo hivyo " ....

CL inahitaji upambanaji wa jasho na damu ....sioni Kama tunaweza kuchukua CL ...kwa mwenendo huu...
 
Kwahiyo man city bila haaland hakuna ushindi? Ina maana timu inamtegemea haaland? Basi sawa
 
Kwa wachezaji aina ya grealish hatuwezi beba CL walahiii ,na Kama pep bado anaamin hivo basi atasibili sanaaa ....!!!

Siku zote nasema timu yetu Haina fighting spirit kwenye must win game ...hii ya Dortmund sio shida ,ila dalili zinaonesha kabisa ,wachezaji wetu hawawezi kujitoa kwa hali na mali kulazimisha ushindi ...

Pep anasema "haaland katoka kwa sababu alikuwa kachoka sana na cancelo hivyo hivyo " ....

CL inahitaji upambanaji wa jasho na damu ....sioni Kama tunaweza kuchukua CL ...kwa mwenendo huu...
Mkuu fighting spirit ipo hebu fuatlia game zote ambazo zilikua ni must win uone.......

Mentality ya wachezaji kwenye game ya Jana haiwezi kuendana na kama ile game ya Aston villa msimu uloisha...

Kumbuka bado tuna kazi ya kumtoa arsenal kileleni hapo PL na ukizingatia tumeshafuzu next round ya UCL sasa tungecheza kama ndio tuko final?

Au unadhani iyo ingekua ni knockout unadhani tungecheza vile kiremborembo?
 
Na bado[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Safi sana Dortmund [emoji1635][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sisi tulikua mazoezini tu.... Huoni haalandinho katolewa mapema tu..subiri wewe leo uliwe kimasihara hahahaah
 
Kwa wachezaji aina ya grealish hatuwezi beba CL walahiii ,na Kama pep bado anaamin hivo basi atasibili sanaaa ....!!!

Siku zote nasema timu yetu Haina fighting spirit kwenye must win game ...hii ya Dortmund sio shida ,ila dalili zinaonesha kabisa ,wachezaji wetu hawawezi kujitoa kwa hali na mali kulazimisha ushindi ...

Pep anasema "haaland katoka kwa sababu alikuwa kachoka sana na cancelo hivyo hivyo " ....

CL inahitaji upambanaji wa jasho na damu ....sioni Kama tunaweza kuchukua CL ...kwa mwenendo huu...
Wajaa laana mnabebaje Uefa nyie?
Labda ya mchongo
 
Kakosa penalty mbili mfululizo za uefa tena zile mhimu ambazo zinaamua ushindi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imagine ni knock out stage harafu anafanya ule ujinga ....
Timu limejaa laana,lazima akose tu🤣
 
Mna laana nyie watoto wa ibilisi upara kama tako la sokwe na kombe la uefa mtalisikia tu kwa kina Nottingham forest waja laana wakubwa nyie
 
Back
Top Bottom