verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 2,930
- 5,913
Msimu huu bila haaland mnadhani mngekua na point ngapiLeo Alvarez lazima aoneshe anastahili kuanza hataka Kama haaland yupo ....
inatakiwa tukate uteje wa kumtegemea haaland sana Kila game ,Mimi binafsi natamani haaland atulie hata game 3 ili tusiwe na uteja wa kumtegemea mtu mmoja ..... football inahitaji team work na sio one man army ....
Saasa hehehehe......hivi unafikiri bila haaland ndio hatuwezi shinda?... Heheheh subiri uone moto tunaoenda kupeleka kwa hivyo vitotoMsimu huu bila haaland mnadhani mngekua na point ngapi
26Msimu huu bila haaland mnadhani mngekua na point ngapi
Kinatosha aisee kuliko kutoa draw na hawa wavulana.Kiushindi chembamba mno asee.....