The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.Kuna mechi ambazo Pep Guardiola hatojali kiwango bali atataka matokeo tu , sio kwamba Man City tulikuwa vibaya , hapana bali Leicester walikuwa wabishi sana

.Leicester City walianza mechi kwa kucheza 4-5-1 Vardy akiwa mbele peke yake na pengine inawezekana Ederson aligusa mpira mara nyingi zaidi ya Vardy kwasababu Leicester walikuwa nyuma sana na City walikaa sana na mpira na hata Leicester wakipata mpira hasa dakika 60 za mwanzo mbele walikuwa wanaenda wachezaji wachache sana ( Vardy Barnes na Maddison ) tu

.Wakati Man City na 4-3, KDB na Gundo kwenye namba 8 wawili nyuma ya kiungo cha Leicester , kwenye build yao hawakuhitaji kuwa wengi sana kama wanavyofanya mechi zingine kwasababu Leicester walikuwa na mchezaji mmoja tu mbele ( walibaki Akanji Laporte na mara kadhaa Stones ) lakini City hawakupata sana spaces za kucheza mpaka mpira uliokufa wa KDB uliotinga wavuni

.Nafikiri kuanzia dakika ya 70 mchezo ulikuwa tofauti na Leicester nafikiri walikuwa timu bora katika dakika 20 za mwisho kutoka 4-5-1 mpaka 4-2-3-1 ( Maddison kwenye namba 10 , Tielemans na Mendy kwenye kiungo huku Tielemans akiwa na uhuru wa kusogea juu zaidi ya Mendy ) na hapo Leicester walianza kushambulia zaidi, pressing , pass mpira vizuri , walishinda hata mipira ya pili mingi zaidi ya City , pongezi kwa City tu walizuia vizuri na hawakutaka kufanya mambo mengi nyuma zaidi ya kuuhamisha haraka mpira kwenda mbele

NOTE

1: Leicester wanaweza kupata matunda ya kumvumilia Rodgers maana katika mechi kama 4 zilizopita unaona uimara umerejea

2: Golikipa huwa wanavuna alama kwa timu zao na Ederson leo kavuna alama 3 kwa City , mkwaju mkali ( Volley ) ya Tielemans kaugusa kidogo na kugonga mwamba wa juu

3: ILE FREEKICK YA KDB [emoji91] hakuna Kipa yoyote Duniani anaokoa
 
Dakika za mwisho tulipekewa moto dah....ilinibidi nibane mbupu
 
Man city remaining fixtures before world cup

Wed 2 November
Man city vs sevilla UCL

Sat 5 November
Man city vs Fulham EPL

Wed 9 November
Man city vs Chelsea carabao cup

Sat 12 November
Man city vs Brentford EPL
 
Hizo mechi mbili za PL naamini tutaondoka na point zote 6 sioni kima wa kutubania hapo hata kama mpira unadunda ...hiyo ya champions league ni mazoezi.....carabao nayo sidhani kama tutakua serious sana
 
Mkuu hao tutaenda nao hivyohivyo ....fixture zetu zilizobaki kabla ya kombe LA dunia ni rafiki ukilingabisha na wao...japo hakuna timu nyepesi EPL
Nimeona arsenal wiki ijayo yuko na chesea hapo patamu ..sisi inatakiwa tushinde tu mechi zetu hizi za Fulham na Brentford twende break tukiwa vinara

Arsenal nawaona ni tishio sana na watatuchallenge haswaa kwenye mbio za ubingwa hivyo cha muhimu in tushinde mechi nyingi kadri tuwezavyo
 
Fixture zetu zilizobaki kabla ya world cup tuko etihad nafikiri hii itasaidia kupunguza uchovu wa kusafirisafiri
 
Pep Guardiola says Erling Haaland is not fit to face Sevilla on Wednesday but could return for Saturday's Premier League clash with Fulham.

"He feels better compared to Saturday and Sunday but he is not 100% and we don't want to take a risk, it makes no sense. Hopefully he will be back for Fulham. Every day he is feeling better."
mancity_mcfc-20221102-0001.jpg
 
Fixture zetu zilizobaki kabla ya world cup tuko etihad nafikiri hii itasaidia kupunguza uchovu wa kusafirisafiri
Kwanza Mimi naona hii game ya Sevilla kdb ,halaand ,bernanrdo ,cancelo wote wapumzike ,kufika jumamoss tuwe na energy ya kutosha ,Fulham sio timu ya mchezo .....harafu siku hizii epl hakuna timu nyepesi
 
Yap ..hii game ni ya kina ortega ,rico lewis ,josh esbrand, palmer ,mahrez ,grielish japo nahisi foden pia anaweza kuanza ila sio dakika zote
 
Back
Top Bottom