The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huu ndo ukweli kaokoa jahazi kwa asilimia kubwa, awe tu goalkeeper no 1.
 

Ederson ni mzuri wakati wa build up ila tukishambuliwa hakuna anachotusaidia na ndicho kinachotucost kwenye champions league...tunafunga ila nasisi tunafungwa tena hiikizembe.....

Kama kipa, unatakiwa kuonyesha heroics pale mabeki wanapozidiwa ujanja kitu ambacho kwa ederson hakijawahi kutokea..muangalie Allison anavyoiokoa Liverpool..angalia courtois kwa real Madrid, Mendy pale Chelsea, lloris kwa spurs.....sisi tuna pazia tu pale golini na kibaya zaidi pep kawa kama kipofu kwenye hili licha ya Ortega kuonyesha kuwa anauwezo wa kulinda lango vyema...

Hii itatusumbua sana mwakani kwenye champions league kama tukiendelea kumuamini ederson kama mlinzi wa goli letu.
 
Baada ya kumalizana na Chelsea sasa tunakwenda kumaliza na Brentford weekend kabla wachezaji hawajaenda kutumikia mataifa yao Qatar...,. Hope tutamaliza vyema

let's go the citizens
 
Pep guardiola

"We are not going to sign anyone in January, the squad we have we are pleased with. The squad will stay the same"
 
Laporte anaweza kukosa kombe la dunia kama ikithibitika kuwa na injury

Laporte looked uncomfortable at times in city 2:0 win against Chelsea on Wednesday at one point going down after clearing the ball and then asking players not to pass the ball to him as he took a breather to recover. Later he was substituted .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…