Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Unamuambia nani ss haituhusu hyoKwa hii defence CL tutaendelea kuisikia kwenye Bomba ...
Wanawaza world cup inavyoonekana......nadhani hii wiki kunaweza kukawa na matokeo ya ajabuajabuDaaa goli la mwisho ni la gundo kabisa ...
Matakataka hahahaha.Pole sana kijana.Daaa goli la mwisho ni la gundo kabisa ...