The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Dah kiukweli city tuko exposed mno kwenye counter attacks, tunashindwa kabisa kuzizuia na ukizingatia pale golini tuna pazia ederson basi ni kifinyo tu
 
Tukirudi baada ya world cup game 3 za mwanzo zitaamua Kama kweli tupo serious na ubingwa au laaah .....

Leo wachezaji sijui walicheza wanawaza wasipate injury kudadekiii ....

Defence yetu ilikuwa exposed vibaya mnoo mpaka unahisi hatuna bekiii ....
Tunaweza kushinda hizo tatu halafu zikafata droo 2 hapo huwezi sema tuko serious...tupige hata 7 ivi ndo tutaona kweli timu ina momentum
 
Nyie makubwa jinga ya wiki amkeni mkasali
Team yako inaelekea kushuka daraja, unaona uje ujifariji hapa, wee cc hebu nenda kamsaidie klopp kuokoa team lenu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Man city first ten premier league fixtures after world cup

December 28 Wednesday
Leeds vs Manchester city

December 31 Saturday
Manchester city vs Everton

January 2 Monday
Chelsea vs Manchester city

January 14 Saturday
Manchester united vs Manchester city

January 21 Saturday
Manchester city vs wolves

February 4 Saturday
Tottenham vs Manchester city

February 11 Saturday
Manchester city vs Aston villa

February 18 Saturday
Nottingham vs Manchester city

February 25 Saturday
Bournemouth vs Manchester city

March 4 Saturday
Manchester city vs Newcastle
 
Kwa ule mpira wa jana hapo sioni timu nyepesi ,kiufupi sioni uhakika wa point 3
 
Team yako inaelekea kushuka daraja, unaona uje ujifariji hapa, wee cc hebu nenda kamsaidie klopp kuokoa team lenu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa taarifa yako ni mechi ya tatu tunashinda mfululizo
Gari limewaka.

Nyie mama city mnapigwa na Brentford
 
Kwa taarifa yako ni mechi ya tatu tunashinda mfululizo
Gari limewaka.

Nyie mama city mnapigwa na Brentford
Ona sasa......timu lako ni LA hovyo hadi kushinda mechi tatu mfululizo yamekua mapambio hehehehehe.........timu lishazoea kupakatwa tu ......vipakatwa fc
 
Kwa ule mpira wa jana hapo sioni timu nyepesi ,kiufupi sioni uhakika wa point 3
Hapo tukiweza kuchukua angalau kuanzia point 25 kwenda juu tutakuwa na matumaini ya kutetea ubingwa tofauti na hapo tutabaki kumpigia ramli arsenal
 
Hapo tukiweza kuchukua angalau kuanzia point 25 kwenda juu tutakuwa na matumaini ya kutetea ubingwa tofauti na hapo tutabaki kumpigia ramli arsenal
Mkuu hii ishu bado mbinchi sana wala haituumizi kichwa amini hiki kitu, Arsenal anapambania top 4 tu akili ya kuchukua Epl hajawanayo bado huyo.
 
Yani mpaka sasahivi sijaelewa mantiki ya southgate kumuita walker kwenye kikosi...

Yeye mwenyewe anasema anaamini mpaka mwisho wa group stage atakuwa keshapona majeraha yake!
 
Yani mpaka sasahivi sijaelewa mantiki ya southgate kumuita walker kwenye kikosi...

Yeye mwenyewe anasema anaamini mpaka mwisho wa group stage atakuwa keshapona majeraha yake!
Hata Phillips sijajua kwanini ameitwa ,hii team inaenda kuishia group stage huko WC ,mtu Kama Phillips hajacheza hata game 3 toka msimu uanze lakin kamchukua[emoji23][emoji23][emoji23]..

Sometimes nahisi anabase kwenye experience,maana kina walker ,Phillips , Maguire,shaw ,ndio waliifikisha england finally euro ....Sasa anaamini hao wanauzoefu kwenye game za kimataifa ....

Mtu Kama toney juzi baada ya kutufunga zile goli mbili watu wakaanza kumsakama Southgate kwanini hajamuita ,japo Mimi nilimuona Kama one season wonder,sio experienced player kwenye international tournament.....

Ndio maana mtu Kama sterling ,grealish ,shaw ,Maguire , Phillips wataendelea kuitwa Kwan walishaaminiwa na Southgate,na walishawahi ifikisha england mbali ....
 
Back
Top Bottom