The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.
mancity-20221208-0002.jpg
 
Tunakaribia kurudi mzigoni sasa.....tukazipakate zile kuku zenye videri
 
Pep lazima ataona aibu kumuweka bench Alvarez [emoji3][emoji91][emoji91][emoji91]
mancity-20221213-0003.jpg
 
Alvarez anajua boli kmmk
Pep lazima kichwa kiume ....

inabidi Sasa atafute mfumo wa kuwachezesha Alvarez vs haaland ...

Kwa Sasa timu kubwa zimeshamuona Alvarez kama pep akiendelea kumuweka bench basi lazima atataka kuondoka ....
 
Tunarudi mzigon sasa ......wachezaji wengi timu Zao za taifa zilitoka mapema kwaiyo wamekuwa na muda mwingi wa kupumzika......let's go the citizens
 
Ndugu wazee, wakati tukirejea kwenye msimu wa mpira baada ya World Cup naomba mnisaidie link ya kutazama mpira online. Ile link ya Domain Seized by Law Enforcement tuliyokuwa tunatazamia mpira imefungiwa rasmi. Natanguliza shukrani.
1671425234507.png
 
Kwenye website ya man city habari ni alvarez tu dogo kakiwasha
 
Man city inaongoza katika orodha ya vilabu vya uingereza vilivyopokea pesa kutoka FIFA kama fidia kwa vilabu kutoa wachezaji wake kushiriki kombe la dunia.

Hii hapa ndio list ya vilabu 10 vinavyoongoza pale uingereza

1.Man city- $ 4m
2.Chelsea- $ 2.86m
3.Man utd- $ 2.65m
4.Tottenham- $ 2.4m
5.Liverpool- $ 1.8m
6.Arsenal- $ 1.57m
7.Wolves- $ 1.54m
8.Leicester city- $ 1.4m
9.Brighton- $ 1.35m
10.Fulham- $ 1.3m
 
JUST IN [[emoji599][emoji954]]: Man City are prepared to offer Josko Gvardiol a contract worth between €11 - €12m per season


Nikiangalia ukuta wetu ulivyo mweupe ni Bora pep angemleta josko ,japo ni performance ya world cup tu lakin mwamba Yuko vzuri huyu ni kama beki Bora wa mashindano wc ...!!
FB_IMG_16715615566442347.jpg
 
Back
Top Bottom