Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Back in training
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rico lewis anakwambia anamtaka salahDaaa ila kuwafunga Liverpool ishakuwa mtihani ,pep kashazingua Sana ,sijui game ya nne Sasa hii tunacheza na Liverpool na hatujatoboa ,[emoji848][emoji3].....
Game ya kesho kutwa nategemea kumuona pep akiweka full mkoko yaan hakuna vya carabao wala nin linapokuja swala la Liverpool....
Japo klopp anamadharau na hili kombe unaweza kuta anaweka madogo ....
Kuna ile inshu ya Bellingham naona kama itakuwa ngum kwasababu Liverpool wamekomaa kinoma halafu na yeye mwenyewe inasemekana anapenda kwenda Liverpool..JUST IN [[emoji599][emoji954]]: Man City are prepared to offer Josko Gvardiol a contract worth between €11 - €12m per season
Nikiangalia ukuta wetu ulivyo mweupe ni Bora pep angemleta josko ,japo ni performance ya world cup tu lakin mwamba Yuko vzuri huyu ni kama beki Bora wa mashindano wc ...!!View attachment 2453088
Tulikuwa na wachezaji 16 kwenye world cup ambao ni wengi kuliko timu yoyote pale EnglandMan city inaongoza katika orodha ya vilabu vya uingereza vilivyopokea pesa kutoka FIFA kama fidia kwa vilabu kutoa wachezaji wake kushiriki kombe la dunia.
Hii hapa ndio list ya vilabu 10 vinavyoongoza pale uingereza
1.Man city- $ 4m
2.Chelsea- $ 2.86m
3.Man utd- $ 2.65m
4.Tottenham- $ 2.4m
5.Liverpool- $ 1.8m
6.Arsenal- $ 1.57m
7.Wolves- $ 1.54m
8.Leicester city- $ 1.4m
9.Brighton- $ 1.35m
10.Fulham- $ 1.3m
Kuna huyu beki wa inter Milan Alessandro bastoni naye Yuko kwenye rada za cityJUST IN [[emoji599][emoji954]]: Man City are prepared to offer Josko Gvardiol a contract worth between €11 - €12m per season
Nikiangalia ukuta wetu ulivyo mweupe ni Bora pep angemleta josko ,japo ni performance ya world cup tu lakin mwamba Yuko vzuri huyu ni kama beki Bora wa mashindano wc ...!!View attachment 2453088
Beki zetu bana ,hatujawahi kuwa na seruosu defender ,au beki katili kabisa [emoji3]...Kuna huyu beki wa inter Milan Alessandro bastoni naye Yuko kwenye rada za city
View attachment 2453552
Wanajikuta wahuni,harafu wakiwa ugenin wanapoa kama maji mtungin ...!!!Klabu ya Manchester city imewaonya mashabiki wake kujiepusha na vurugu na vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea mchezo wa carabao cup dhidi ya Liverpool.
Kwenye mechi ya mwisho kukutana mwezi October zilitokea furugu ambapo basi la Manchester city lilishambuliwa huku kocha pep guardiola akirushiwa "coins" na inaosemekana kuwa ni mashabiki wa liverpool.
Huyu hamuwezi Salah bana ,labda kama anajitafutia vita ambayo haiwezi kupigana [emoji3][emoji3]....bila cancelo ni sawa hatuna LB..Rico lewis anakwambia anamtaka salah
Liverpool wachezaji wao wote wako fit ,na wamwsharudi ,....Wachezaji ambao mpaka sasa hawajarejea kikosini
Aymeric laporte
John stones
Phil foden
Kalvin Philips
Kyle walker
Ruben Diaz
Ederson Moraes
Bernardo Silva
Jack grealish
Joao cancelo
Julian Alvarez
Kikosi kitakachoanza kesho dhidi ya liverpool probably kinaweza kuwa hivi
............................. Haaland..........................
....Cole palmer.....KDB........mahrez.....
.................Gundogan..........Rodri.........
Gomez........akanji.......ake.......lewis.....
.........................S.Ortega............................
KataburuZwa vibaya mnoooo......hata Gomez nae sio wa kumuamini sana kule kushoto......Huyu hamuwezi Salah bana ,labda kama anajitafutia vita ambayo haiwezi kupigana [emoji3][emoji3]....bila cancelo ni sawa hatuna LB..
Akanji ile game waliyotufunga goli moja alikuwa hayuko sawa kabisa.....alikua anafanya makosa Mara kwa Mara ambapo kama livakuku wange capitalize, tulikua tunapigwa hata 3 .....Wachezaji ambao mpaka sasa hawajarejea kikosini
Aymeric laporte
John stones
Phil foden
Kalvin Philips
Kyle walker
Ruben Diaz
Ederson Moraes
Bernardo Silva
Jack grealish
Joao cancelo
Julian Alvarez
Kikosi kitakachoanza kesho dhidi ya liverpool probably kinaweza kuwa hivi
............................. Haaland..........................
....Cole palmer.....KDB........mahrez.....
.................Gundogan..........Rodri.........
Gomez........akanji.......ake.......lewis.....
.........................S.Ortega............................
Huyu atulie kabisa battle ya Salah na yeye ni sawa na mbingu na aridhi ...KataburuZwa vibaya mnoooo......hata Gomez nae sio wa kumuamini sana kule kushoto......
Mkuu katika CB tulionao ...Akanji ile game waliyotufunga goli moja alikuwa hayuko sawa kabisa.....alikua anafanya makosa Mara kwa Mara ambapo kama livakuku wange capitalize, tulikua tunapigwa hata 3 .....
Mfumo wetu ndio hautaki aina ya mabeki wagumu nadhani hata Huyo gvardiol akija bado yatakuwa yaleyaleMkuu katika CB tulionao ...
Stone ,akanji ,dias ,Laporte na ake maana anaweza kucheza CB na RB sometimes ...hapo beki mwenye utulivu kidogo ni Laporte ,diasi kasha kwisha kabisa [emoji3],stone na yeye ule ndio uwezo wa mwisho usifikili atakuja kuwa na makali zaidi ya pale ......
Kiufupi pep hajawahi kuwa na ukuta mkali ,toka kina otamend ni full kusajili average defender ,labda kwa vile falisafa ya pep ni "attacking" pep hajawahi kufundisha kuzuia ,anafundisha kushambulia na possession tu ,kuanzia beki Hadi forwards ....