The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Back in training
FB_IMG_16715614535864734.jpg
 
Daaa ila kuwafunga Liverpool ishakuwa mtihani ,pep kashazingua Sana ,sijui game ya nne Sasa hii tunacheza na Liverpool na hatujatoboa ,[emoji848][emoji3].....

Game ya kesho kutwa nategemea kumuona pep akiweka full mkoko yaan hakuna vya carabao wala nin linapokuja swala la Liverpool....

Japo klopp anamadharau na hili kombe unaweza kuta anaweka madogo ....
 
Rico lewis anakwambia anamtaka salah
 
JUST IN [[emoji599][emoji954]]: Man City are prepared to offer Josko Gvardiol a contract worth between €11 - €12m per season

Nikiangalia ukuta wetu ulivyo mweupe ni Bora pep angemleta josko ,japo ni performance ya world cup tu lakin mwamba Yuko vzuri huyu ni kama beki Bora wa mashindano wc ...!!View attachment 2453088
Kuna ile inshu ya Bellingham naona kama itakuwa ngum kwasababu Liverpool wamekomaa kinoma halafu na yeye mwenyewe inasemekana anapenda kwenda Liverpool..

Tukimpata na huyo inakuwa ni perfect replacement ya gundogan ambaye umri umeshasogea
 
Man city inaongoza katika orodha ya vilabu vya uingereza vilivyopokea pesa kutoka FIFA kama fidia kwa vilabu kutoa wachezaji wake kushiriki kombe la dunia.

Hii hapa ndio list ya vilabu 10 vinavyoongoza pale uingereza

1.Man city- $ 4m
2.Chelsea- $ 2.86m
3.Man utd- $ 2.65m
4.Tottenham- $ 2.4m
5.Liverpool- $ 1.8m
6.Arsenal- $ 1.57m
7.Wolves- $ 1.54m
8.Leicester city- $ 1.4m
9.Brighton- $ 1.35m
10.Fulham- $ 1.3m
Tulikuwa na wachezaji 16 kwenye world cup ambao ni wengi kuliko timu yoyote pale England
 
JUST IN [[emoji599][emoji954]]: Man City are prepared to offer Josko Gvardiol a contract worth between €11 - €12m per season

Nikiangalia ukuta wetu ulivyo mweupe ni Bora pep angemleta josko ,japo ni performance ya world cup tu lakin mwamba Yuko vzuri huyu ni kama beki Bora wa mashindano wc ...!!View attachment 2453088
Kuna huyu beki wa inter Milan Alessandro bastoni naye Yuko kwenye rada za city
65783839-11559199-image-a-6_1671561760175.jpg
 
Wachezaji ambao mpaka sasa hawajarejea kikosini

Aymeric laporte
John stones
Phil foden
Kalvin Philips
Kyle walker
Ruben Diaz
Ederson Moraes
Bernardo Silva
Jack grealish
Joao cancelo
Julian Alvarez

Kikosi kitakachoanza kesho dhidi ya liverpool probably kinaweza kuwa hivi

............................. Haaland..........................

....Cole palmer.....KDB........mahrez.....

.................Gundogan..........Rodri.........

Gomez........akanji.......ake.......lewis.....

.........................S.Ortega............................
 
Klabu ya Manchester city imewaonya mashabiki wake kujiepusha na vurugu na vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea mchezo wa carabao cup dhidi ya Liverpool.

Kwenye mechi ya mwisho kukutana mwezi October zilitokea furugu ambapo basi la Manchester city lilishambuliwa huku kocha pep guardiola akirushiwa "coins" na inaosemekana kuwa ni mashabiki wa liverpool.
 
Kuna huyu beki wa inter Milan Alessandro bastoni naye Yuko kwenye rada za city
View attachment 2453552
Beki zetu bana ,hatujawahi kuwa na seruosu defender ,au beki katili kabisa [emoji3]...

Dias Kaflop vibaya mnoo ,nimemuangalia hata kombe la dunia ,daaa sijui nin kimemkuta ,...false defender kabisa [emoji848][emoji848]

Bora ake na Laporte walionesha umwamba aiseee ....

VVD alimkwepa mess ila ake alikuwa naye sambamba aisee na ake alinitahidi kumdhibiti game ya uholanzi vs Argentina ....

Labda kurudi Kwa walker kutaleta utulivu nyuma ,vinginevyo ni majanga ...

Beki zetu sio hatari ...
 
Klabu ya Manchester city imewaonya mashabiki wake kujiepusha na vurugu na vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea mchezo wa carabao cup dhidi ya Liverpool.

Kwenye mechi ya mwisho kukutana mwezi October zilitokea furugu ambapo basi la Manchester city lilishambuliwa huku kocha pep guardiola akirushiwa "coins" na inaosemekana kuwa ni mashabiki wa liverpool.
Wanajikuta wahuni,harafu wakiwa ugenin wanapoa kama maji mtungin ...!!!
 
Wachezaji ambao mpaka sasa hawajarejea kikosini

Aymeric laporte
John stones
Phil foden
Kalvin Philips
Kyle walker
Ruben Diaz
Ederson Moraes
Bernardo Silva
Jack grealish
Joao cancelo
Julian Alvarez

Kikosi kitakachoanza kesho dhidi ya liverpool probably kinaweza kuwa hivi

............................. Haaland..........................

....Cole palmer.....KDB........mahrez.....

.................Gundogan..........Rodri.........

Gomez........akanji.......ake.......lewis.....

.........................S.Ortega............................
Liverpool wachezaji wao wote wako fit ,na wamwsharudi ,....
 
Huyu hamuwezi Salah bana ,labda kama anajitafutia vita ambayo haiwezi kupigana [emoji3][emoji3]....bila cancelo ni sawa hatuna LB..
KataburuZwa vibaya mnoooo......hata Gomez nae sio wa kumuamini sana kule kushoto......
 
Wachezaji ambao mpaka sasa hawajarejea kikosini

Aymeric laporte
John stones
Phil foden
Kalvin Philips
Kyle walker
Ruben Diaz
Ederson Moraes
Bernardo Silva
Jack grealish
Joao cancelo
Julian Alvarez

Kikosi kitakachoanza kesho dhidi ya liverpool probably kinaweza kuwa hivi

............................. Haaland..........................

....Cole palmer.....KDB........mahrez.....

.................Gundogan..........Rodri.........

Gomez........akanji.......ake.......lewis.....

.........................S.Ortega............................
Akanji ile game waliyotufunga goli moja alikuwa hayuko sawa kabisa.....alikua anafanya makosa Mara kwa Mara ambapo kama livakuku wange capitalize, tulikua tunapigwa hata 3 .....
 
Mkuu katika CB tulionao ...

Stone ,akanji ,dias ,Laporte na ake maana anaweza kucheza CB na RB sometimes ...hapo beki mwenye utulivu kidogo ni Laporte ,diasi kasha kwisha kabisa [emoji3],stone na yeye ule ndio uwezo wa mwisho usifikili atakuja kuwa na makali zaidi ya pale ......

Kiufupi pep hajawahi kuwa na ukuta mkali ,toka kina otamend ni full kusajili average defender ,labda kwa vile falisafa ya pep ni "attacking" pep hajawahi kufundisha kuzuia ,anafundisha kushambulia na possession tu ,kuanzia beki Hadi forwards ....
 
Mfumo wetu ndio hautaki aina ya mabeki wagumu nadhani hata Huyo gvardiol akija bado yatakuwa yaleyale
 
Back
Top Bottom