The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mkuu katika CB tulionao ...

Stone ,akanji ,dias ,Laporte na ake maana anaweza kucheza CB na RB sometimes ...hapo beki mwenye utulivu kidogo ni Laporte ,diasi kasha kwisha kabisa [emoji3],stone na yeye ule ndio uwezo wa mwisho usifikili atakuja kuwa na makali zaidi ya pale ......

Kiufupi pep hajawahi kuwa na ukuta mkali ,toka kina otamend ni full kusajili average defender ,labda kwa vile falisafa ya pep ni "attacking" pep hajawahi kufundisha kuzuia ,anafundisha kushambulia na possession tu ,kuanzia beki Hadi forwards ....
Mfumo wetu ndio hautaki aina ya mabeki wagumu nadhani hata Huyo gvardiol akija bado yatakuwa yaleyale
Guardiola ni muumini wa falsafa ya " defend the goal by possessing the ball"

Sasa katika kuiishi falsafa hii inahitajika kuwa na wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kumiliki mpira kuanzia kipa mpaka striker..
Mabeki wengi anaowasajili pep sio ile aina ya mabeki wagumu ambao wao wanakuwa na performance kubwa pale wanapokaba...

Ukiwaangalia mabeki wetu kama john stones na laporte utagundua ni ile aina ya wachezaji ambao wako "possessing minded " ,wataperfom zaidi pale timu inapokuwa na mpira kwaiyo hawa automatically hawawezi kuwa solid.....

Na Hiyo ndio aina ya mabeki ambao guardiola ataendelea kusajili muda wote atakaokuwa city
 
Angalau basi asajili kipa anaejielewa ili kutuokoa kwenye baadhi ya michomo.
Yeye kamng'ang'ania ederson tu bora hata ortega, kwa beki ilivyo ongeza na hilo pazia ederson tutapata tabu sana
 
Angalau basi asajili kipa anaejielewa ili kutuokoa kwenye baadhi ya michomo.
Yeye kamng'ang'ania ederson tu bora hata ortega, kwa beki ilivyo ongeza na hilo pazia ederson tutapata tabu sana
Mkuu niliangalia game ya kirafiki na girona majuzi [emoji3][emoji3]....

Ukiachana na uwezo wa Ortega kudaka ,ila anauwezo wa kutanda golin na mfungaji akaliona goli Dogo ,kiufupi Ortega ni bonge la "stopper goalkeeper" ederson hana hizo skills ...

Game ya Chelsea kama angekuwepo ederson basi tungekula za uso ,Hadi potter mwenyewe alisema goalkeeper alikuwa kwenye kiwango kikubwa na ndio kilichowamaliza Chelsea ....

Ederson kinachomuweka golin ni ule mguu wa kupiga mashoot tu mbele lakin mengine hakuna kitu ,sikumbuki ni Lin ederson alishawahi kusave penalty ....

Ortega akipewa muda atazidi kuaminika na pep akimuamin basi tutafika mbali ....
 
Nahisi pep saivi atakuwa anakuna upara namna ya kudili na hii inshu ya Alvarez na Haaland.
Itakuwa sio poa kumuweka jamaa benchi
 
Pep guardiola has signed a two year contract extension that will keep him at Manchester city until 2025.
Guardiola existing deal expires at the end of the season.
 
Manchester City football group director Joan Patsy has revealed that Manchester city could have signed Argentina midfielder, Enzo Fernandez in the last Summer transfer window.

Speaking to Spanish publication, Qué T'hi Jugues, he said
"Man city could've signed Enzo Fernandez but what do we do if we have Gundogan,Bernardo and Rodri in the squad?
He would cost us less than he did Benfica but we didn't have a place and we know he wouldn't play"
 
JUST IN [[emoji599][emoji954]]: Man City are prepared to offer Josko Gvardiol a contract worth between €11 - €12m per season

Nikiangalia ukuta wetu ulivyo mweupe ni Bora pep angemleta josko ,japo ni performance ya world cup tu lakin mwamba Yuko vzuri huyu ni kama beki Bora wa mashindano wc ...!!View attachment 2453088
Huyu si kachukuliwa na ancellot
 
Wachezaji ambao mpaka sasa hawajarejea kikosini

Aymeric laporte
John stones
Phil foden
Kalvin Philips
Kyle walker
Ruben Diaz
Ederson Moraes
Bernardo Silva
Jack grealish
Joao cancelo
Julian Alvarez

Kikosi kitakachoanza kesho dhidi ya liverpool probably kinaweza kuwa hivi

............................. Haaland..........................

....Cole palmer.....KDB........mahrez.....

.................Gundogan..........Rodri.........

Gomez........akanji.......ake.......lewis.....

.........................S.Ortega............................
Ka foden Kanafanya nn hakajarud wakat kalitoka mapema tu qatar
 
Nahisi pep saivi atakuwa anakuna upara namna ya kudili na hii inshu ya Alvarez na Haaland.
Itakuwa sio poa kumuweka jamaa benchi
Julian Alvarez amekuwa kwenye form nzuri sana hapo Qatar na nadhani hata pep mwenyewe ataona aibu kumuweka benchi.

Ni wakati sasa wa Alvarez kuanza sambamba na haaland pale mbele kwasababu anaweza pia kucheza wide.

Iko wazi city msimu huu tuna matatizo kwenye winga ya kulia ambako naturally anacheza mahrez lakini nayeye msimu huu ameflop kwaiyo Alvarez akicheza kule sio mbaya kwasababu anaweza kutokea pembeni.

Tunaweza ku-lineup namna hii

....................Haaland...............Alvarez.......

Foden......KDB........Rodri.......Bernardo

Cancelo..Diaz/akanji..ake/laporte..walker

...........................ederson......................

Au inaweza kuwa 4-3-3 foden akasogea juu
 
Na mahrez nae akirudi kwenye form vipi?
Kwasababu Alvarez ni efficient zaidi anapocheza kama central striker kwaiyo hapo labda kama mahrez aendelee kuwa flop.
 
Back in training..!
mancity-20221221-0003.jpg
 
Back
Top Bottom