Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
Toka alipokuja tu first time hata ligi haijaanza tayari injury nikaona hapa kuna uwezekano tumesajili injury prone.Bora tu angebaki Leeds united ,saizi kajiharibia CV Bure ...View attachment 2456904
Sasa kama sasahivi kaongezeka uzito ndio basi tena, na ndio maana guardiola alikua amefura.