The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Macho ya scouts yamehamia south America.

Manchester city are on the verge of signing Velez sarsfied midfielder, Maximo Perrone (19).

That's according to transfer insider, Fabrizio Romano who claims that city are about to pay perrone's release clause which according to him, stands at around £6.6 million with the "here we go expected soon".

The argentine will join up with city after 2023 south American U-20 championship in Colombia.

The Transfer Travern.
 
Rodri siku hizi anacheza kibabe Sana ,kutoka na kadi ga njano ni kitu cha kawaida [emoji3][emoji3][emoji3060][emoji3060]
Kuna huyu DM tunayetaka kumsajili anaitwa Maximo perrone, yuko aggresive balaa ana kadi za njano 13 kwenye mechi 33 alizocheza senior team.
 
Dili la Leao naona linakuwa serious.....tunaweza kumdaka summer
Inawezekana tukampata hata January hiihii japo pep amesema hawana mpango wa kuongeza mchezaji dirisha hili.

sasa hivi kuna mazungumzo kati ya city na baba yake Leao.
 
Dogo James McAtee anaupiga mwingi. Jana kapiga bonge la solo goal.
 
Dogo James McAtee anaupiga mwingi. Jana kapiga bonge la solo goal.
Nimetoka kumfuatilia kwenye mechi za sheffield. Ni kiungo mzuri.
Ana footwork nzuri ,Ni mzuri kwenye build up, na ana uwezo mzuri wa kufunga mabao.
Ni mzuri zaidi timu ikiwa na mpira kwaiyo anatakiwa kuimprove kwenye kufanya ball recovery hata kocha wake nimeona kasema.
 
Huyu nimeona newcasttle na wolves walikua wanamtaka ila na sisi tukaingia dakika za mwisho.
Naona atatolewa kwa mkopo kama tulivyofanya kwa Alvarez msimu ulioisha sababu tayari kuna Rodrigo na kalvin phillips.
Ni future project.
 
Leo vile vitoto inatakiwa tuvipasue za kutosha ili wale asenyani wajue kwamba mwenye kombe lake bado yupo.
 
Huyu nimeona newcasttle na wolves walikua wanamtaka ila na sisi tukaingia dakika za mwisho.
Naona atatolewa kwa mkopo kama tulivyofanya kwa Alvarez msimu ulioisha sababu tayari kuna Rodrigo na kalvin phillips.
Ni future project.
Kalvin kaambiwe akate wese kwanza[emoji16]
 
Hawa mechi ya mwisho kukutana walitukamata kinoma..

Goli moja la kujigongagonga likatuokoa.....Leo naona wakiingia na approach ileile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…