Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Grealish ni takataka ambayo bado inatunzwa ndaniGealish sijaona anachofanya hadi tunakwenda half time afanye kutoka tu aingie Foden.
Kwa pep tusahauHuyu grealish sku moja awekwe bench kwanza
Yaani huwa kama mzimu wake.Kwa pep tusahau
Labda kuna kitu anaona kwake sisi bado kukionaYaani huwa kama mzimu wake.
Marefa walikuwa wanaweka vifaa vyao sawaSielew nn kinaendelea mbona wanavaa wanavua,ndo nmepata access ya kuwatch now,kuna nn
AnhaaaMarefa walikuwa wanaweka vifaa vyao sawa
Huyu pep , Mungu anamuona aiseDakika zishakimbia hizi pep ndio anafanya sub
Dakika 11 ni nyingiTumekamatika wakuu,wametuweza
Ile grealish ilikua ya kutoa kitamboHuyu pep , Mungu anamuona aise