The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sjui ndo too much confidence
Ukiangalia pep ailkuwa kasha underestimate Everton ,ndiobmaana alirellax baada ya kuongoza goli 1 ...

Harafu anatakiwa kurudisha attacking winger cancelo &walker ...huu ujinga wa kuacha bench wanaume kama Hawa ambao wametufikikisha mbali kwenye CL ni ujinga ....

Everton deserve this ,tuliwachukulia poa. ,kuanzia dakika ya Kwanza Hadi ya 70 ,walipochomoa ..

Hope pep kajifunza Sasa ....

Ederson kila shots on target ni goli ,worst Goalkeeper ever [emoji1786]
 
Defence yetu ni weak vibaya mnoo ,baada ya goli la kwanza sikuona hata high pressing , energy,kiufupi tuliwachukulia poa Everton ....

Safi ,pep kajifunza kitu naamin ...

Huu ujinga akiufanta kwenye CL ,hataamin kitakacho mkuta....

Sion sababu ya cancelo na walker kutoaanza [emoji3060][emoji3060]ni ujuaji mwingi na dharau ....
 
Yan pep ndo kaamua huu mchezo mxiew. Kawaacha walker na cancelo af still hakufanya maamuz ya haraka kwenye sub.
 
Grealish mpaka uefa ataanza....Hapo ndio tutajua pep anavyomsifia jamaa anamaanisha
Hiv ni kibur au mana kila mtu anamwambia na sio kwamba comments za fans hazion anaziona sasa kuhusu grealish,sjui anataka kutuprove nn
 
Defence yetu ni weak vibaya mnoo ,baada ya goli la kwanza sikuona hata high pressing , energy,kiufupi tuliwachukulia poa Everton ....

Safi ,pep kajifunza kitu naamin ...

Huu ujinga akiufanta kwenye CL ,hataamin kitakacho mkuta....

Sion sababu ya cancelo na walker kutoaanza [emoji3060][emoji3060]ni ujuaji mwingi na dharau ....
Pep atajifunza kipi sasa yan hapa mechi ijayo grealish ndani, walker na cancelo benchi kama kawa hapo ndio tutajua hatujui.....
mtu kama lewis yuko vizuri ila sio wa kumuamini haraka vile, bado hana experience ya kutosha ukilinganisha na walker.
foden anaingizwa dakika ya 86 uko..tunalikosa kombe hivihivi.
 
Next game ni chelseaa....

Yaani mwaka mpya na vigongo hatari ....

[emoji3447] Pep Guardiola: "We played a really, really, really good game. The result was not expected, but it's football. We did everything to win…”[emoji3060]
 
Kdb Leo hakuwa kwenye form ..

Bila kdb jamni ,timu inastruggla hatari ,hatuna creative midfielders zaidi ya kdb ,labda gundo....

Grealish Yule mbwa sijui anaingia uwanjani kurudisha mipira Kwa goalkeeper [emoji1786]hawezi kabisa kupenetrate kwenda mbele ...

Foden anatakiwa kuwa anaanza , sijui kamfanya nin pep ....

Timu yetu imeshalemea na " kutegemea striker " huu ugonjwa tusipoutoa itakuja kutugharimu ,timu inategemea striker tu [emoji848][emoji848][emoji848]wtf ....
 
[emoji2424] Pep Guardiola: "The approach from Liverpool and Leeds is completely different to how Everton play tonight but we played a really good game.."
 
[emoji2424] Pep Guardiola: "The moment I feel something is broken at Manchester City, I will resign or not extend. I continue to say I'm not going to stay like Fergie and Arsene Wenger. The contract is just paper.."
 
[emoji2424] Pep Guardiola: "Jack Grealish doesn't need goals to change my opinion. Since day one, we've been delighted with Jack. I know the role he had at Aston Villa, it was completely different. Maybe he has to adapt to our environment, but since day one, he's set out perfectly."

"Of course we want to score goals - he's the first to say that. But he always plays to a good level. When the ball arrives to him, rarely he will lose the ball. And that's what we want.."

Grealish kamrogaaa pep sio Bure[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hakuna namna inabidi tumzoee grealish kwa maneno hayo.
 
[emoji1033] | 𝗛𝗘𝗥𝗘 𝗪𝗘 𝗚𝗢: Máximo Perrone

Manchester City are now closing in on deal to sign Argentinian top talent Máximo Perrone from Vélez [emoji1756]

[emoji3503] Verbal agreement in place to sign the 2003 born midfielder who’s considered one of the best talents in South America in his position, after Álvarez deal.

[emoji3503] Deal now at final stages with Man City set to pay the release clause worth $8m plus taxes to Vélez.

[emoji3503] Perrone will not join City Group clubs but he will be directly part of City team after Sudamericano Sub20.

Pep ashindwe mwenyewe [emoji3060][emoji3060][emoji3060]
fabriziorom-20230101-0001.jpg
 
Back
Top Bottom