Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 714
- 755
Ila wewe acha kuwa unalinganisha wavulana na wanaume haya peleka kwenu aibu hizi.4GMwacity leo mnakandamizwa nyundo 2 tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo hivo kavulana kalikuwa kanagombana na mwanaume kipigo kalicho pokea hakatakisahau kamwe.[emoji23][emoji23][emoji23]Dah nlikua mbali na runinga..
Tulizana tuje tukubandue utupishe hapo juu hehehee usicheze na sisi, sisi ni wabaya sana.Hii timu yenu imejichokea sana
Leo lazima arsenal ashinde ,tukutane huko mbele ,...Wakuu fixture zetu msimu huu zimekaa kibabe sana.
carabao tulianza na chelsea then liverpool.
kwenye FA tumeanza na chelsea then round inayofuata tuko na arsenal kama akishinda leo.